12.02.2009
12.01.2009
NENO LA SIKU
HEY DA MANKA, POLE NA MAJUKUMU.
NINA NENO NINGEPENDA KU SHARE NA WENZANGU AMBAO KWA NJIA MOJA AU NYINGINE WANAWEZA KUWA KWENYE SITUATION KAMA YANGU.
HII NI KUWASAIDIA TU WAONDOKANE NA JELA YA UJINGA KWANI KILA KITU KINAWEZEKANA ENDAPO WATAAMUA.
JITAHIDINI SANA MNAPOAMKA ASUBUHI NA KUIANZA SIKU, MSIWATAFUTE WALE WATU AMBAO MNAJUA KABISA WATAWAHARIBIA SIKU YENU, KUWACHEFUA NA KUWAFANYA MJIONE WANYONGE KAMA HAMKUSTAHILI KUZALIWA
TENA WATU KAMA HAO IKIBIDI MJITENGE NAO KABISA NA MUONDOKANE NA UTEJA WA KUWA NA MAWASILIANO NAO YA KARIBU KATIKA MAISHA YENU.
MARA NYINGINE MNAWEZA KUDHANI NI VIGUMU KWA KUTOURUHUSU MOYO KUJARIBU KUANZA MAZOEA MAPYA.
NA BILA KURUHUSU MOYO KUJARIBU KITU KINGINE KIPYA INAKUWA NI VIGUMU KUENDELEA NA MAISHA MENGINE.
HATA KAMA UMEFUKUZWA KAZI UKIKAA NA KUANZA KULIA NA KUJUTIA KAZI ILIOPITA BADALA YA KUTAFUTA KAZI MPYA INAKUWA SIO KABISA.
MARAFIKI WANAKUSALITI KILA SIKU NA BADO HUWEZI KUACHANA NAO, INAKUWA KAMA UNAOGOPA KUWAPOTEZA WAKATI UNAENDELEA KUUMIA.
MPENZI ANAKUKASHIFU NA KUKUKEJELI KILA KUKICHA NA BADO UNADHANI KUWA HUTAWEZA KUENDELEA BILA YEYE, HIYO NI KAMA JELA YA MAISHA UNAYOJITAKIA NA HAKUNA MTU YOYOTE ANAEWEZA KUKUWEKEA DHAMANA ENDAPO HUJACHAGUA KUBADILI MOYO WAKO
NI RAHISI KUSEMA KULIKO KUTENDA ILA JARIBU
NAWATAKIA SIKU NJEMA IJAYO
NI MIMI
SAFINA

11.30.2009
PAMOJA NA DRAMA ZA HAPA NA PALE ONYESHO LA MAPACHA WANNE LILIFANA USIKU WA JANA PALE STEREO KINONDONI
Muziki ni burudani jamani sio seke seke
MAPACHA WANNE ni band mpya inayoundwa na wanamuziki Chaz Baba, Kalala Jr, Chokoraa na Josee Mara.
Usiku wa onyesho inasemekana mpiga drums alichukuliwa na polisi dakika chache kabla hajaingia ndani, hivyo kumlazimu Kalala Jr. ambae ni muimbaji kupiga Drums kwa usiku huo.
Chaz Baba pia hakutokea na hakuna anaejua sababu
Ila alikuwepo wakati wote wa maandalizi ya show
Tunawatakia kila kheri katika safari hii ngumu
TAREHE YA ILE PARTY YETU....ITAKUWA 9TH DECEMBER 2009, SIKU YA JUMATANO. MUALIKO HUU NI KWA WALE AMBAO SINA NAMBA ZAO ZA SIMU AU E MAIL ADRESS ZAO
Ni matumaini yangu makubwa kuwa mtanikubalia mwaliko wangu
Nimekuwa nikiwasikia tumekuwa tukiongea, humu humu kwenye blog
Lakini wengi wenu hata kwa sura siwafahamu
Wafuatao ni baadhi ya waalikwa, list nyingine nitaitoa jumatatu ijayo....
1. MAIDA (Sijui kama uko TZ ama la, ningependa uje)
2. GK (Karibu nyumbani)
3. SAB ( nadhani huu ndio wakati muafaka uje uchukue top yako kabla haijakwapuliwa)
4. Mama Karen
5. ShAA na ShAA 2
6. JACQUE ( Tulionana Machozi lakini nahisi nimekusahau ningependa uje tukumbukane)
7. IMA (THE DESIGNER) (bwana shemeji usisahau kutuletea na mikate ya viatu)
8. DISMINDER ( Sijui ni kaka au dada ila ningependa pia kukufahamu)
9. MDAU ESIEN
10. LULU
11. KAI ROONEY
JO Sijakusahau ila najua uko shule sasa ukirudi tutafanya mambo basi
Manake ningependa sana kukuona na wewe pia.
Mpatapo mwaliko huu na kuukubali tafadhalini mniandikie email judyjaydee@yahoo.com
Au nipigie simu 255 784 700 884.
Ili niwafahamishe jinsi gani ya kupata kadi za kuingilia ndani
Asanteni na awamu ya pili ya majina itatoka wiki ijayo.
Wale wakongwe wa blog hii mnajijua na mnajua wapi tutakutana
PM punguza maswala ya safari sana tunakukosa huku jamani khaa!!¨!
Cheers
Manka Drogba

MACHOZI BAND JUMAMOSI YA TAR 5 DECEMBER 2009, TUTAKUWA YATCH CLUB MWANZA
Jumamosi ya Tar 5 Dec, tutaanza uwanja wa Nyamagana mchana kushuhudia (Nyamagana Cup)
Na usiku tutakuwa Yatch Club kufurahi na wapenzi wa Mwanza
Kwa Udhamini mkubwa wa Serengeti Lager na AIR Tanzania (Wings of Kilimanjaro)
11.28.2009
JUMAMOSI TULIKUWA KWENYE HARUSI YA EDNA NA STEVE CHACHA...MLIMANI CITY
USIKU WA DHAHABU ULIVYOKUWA ZHONG HUA GARDEN IJUMAA NA WASHINDI NIII.....
11.27.2009
EID MUBARAK EVERY ONE...ONE LOVE
Nangoja mialiko ya Biriani toka kwa waislamu, Asante Sheila (Shekha Illusions)Mwaliko wako nimeupata na kesho nitatia timu
Asante Faraji Moh'd najua wewe tutaianza wote Eid usiku wa leo
STEVE KANUMBA BADO ANALISONGESHA
Habari Jaydee
Pole na pilika na hongera kwa kazi nzuri unaoifanya.
Kwa niaba ya timu nzima ya £ovely Gamble tunapenda kuwataarifu kuwa soundtrack ya movie £ovely gamble starring Steve kanumba iko tayari na inapatikana kwenye hii link chini.Movie itakuwa tayari soon
http://www.youtube.com/watch?v=A2qD_7G8a4o
Naomba msaada wako kuiweka kwenye blog yako.
asante sana na Mungu akubariki
Frank Eyembe

PISHI JIPYA TOKA KWA CHEF MWINGINE ANAEITWA MALICK WILLIAMS
Leo nimekutumia picha ya huo msosi uucheki ni plate kubwa sana la chuma msosi huu ni maalumu kwa watu watatu ni nyama choma ya nguvu inayoambatana na matunda ya ladha mbalimabli na kabechi nyekundu ilyopikwa kwenye mvinyo mwekundu pia hatari sasa kwa ndugu zangu wachupa hapo nyumbani ukipata nyama choma hii na mataunda na chupa imekolea nadhani ni kurudisha chenji kwakwenda mbele lakini hapa huu ni msosi maarufu sana bar..
kazi na siku njema!!
(MALICK tutumie tu recipe maana hata kama ni za kidhungu babu wewe. Blog hii ina wajuaji kibao, tutapata tu wa kututafsiria au mnasemaje wadau??)
11.25.2009
ILE PARTY NILIOWAAMBIA AMBAYO TAREHE YAKE ITATAJWA JUMATATU IJAYO, MAMBO HAYA YOTE YATAKUWEPO.

Party itafanyika nyumbani kwetu Kimara, na maelezo zaidi yatafuata jumatatu ijayo ya tar 30 Nov....Kutakuwa na kila kitu kuanzia nyama choma mpaka pilau na supuTutaalika baadhi ya watu kutoka kwa followers hapo pembeni, wachangia maoni wakongwe na wapya pamoja na marafiki na wadau mbali mbali wa Machozi Band na Fans wa Captain G.
Hizo hapo mnazoona ni fruits tu, basi kachumbari zote tutaweka kama hivyo.
Hiyo ni utambulisho tu kuwapa picha mambo yatakavyokuwa
Party ni kwa watakao alikwa tu....PM. Ima The Designer vipi mtakuwepo?
Shukrani kwa Fisherman Tours
USIKU WA DHAHABU ZHONG HUA GARDEN
KWANZA KABISA VIINGILIO BEI NI ILE ILE KAMA SIKU ZOTE 5,000/=
HALAFU TUNAHAMASISHA FLOWERS NA WADAU KULIPUKA NA GOLD IPASAVYO,
KWAKUWA KUTAKUWA NA ZAWADI KUTOKA MACHOZI BAND
AMBAPO FLOWER ATAKAEPENDEZA SANA KULIKO WOTE ATAPATA FEDHA TASLIMU SHILINGI LAKI MOJA 100,000/= (KILO).
NA MVULANA / MWANAUME ATAKAEVUTIA ZAIDI ATAPATA VOUCHER YENYE THAMANI YA SH. 50,000/= (ALFU HAMSINI) YA MTANDAO WOWOTE ATAKAOKUWA ANATUMIA NA COMPLIMENTARY YA KUINGIA MACHOZI BAND KWA MUDA WA MWEZI WOTE WA DECEMBER.
ZAWADI NYINGINE NDOGO NDOGO KUTOKA ZIZZOU FASHION PIA ZITATOLEWA KWA YEYOTE YULE ATAKAE BAHATIKA.
BINTI MACHOZI PIA NITAVAA FULL GOLD KUANZIA JUU MPAKA CHINI, NA KAMA NILIVYO WAAHIDI NGUO ZANGU NITAKAZOKUWA NAVAA WIKI HIZI ZA KARIBUNI NI KUTOKA FK's FASHIONS PALE SINZA OPPOSITE VATICAN.
HUKU KICHWANI NYWELE ZIKIWA ZIMEWEKWA SAWA NA TONTOO MARCELL WA UKWELI (JENNIFER SALON 'KINONDONI')
NI MACHOZI BAND KILA IJUMAA ZHONG HUA GARDEN, KIWANJA CHA FANS WA UKWELI.
KU DANCE MWANZO MWISHO HAKUNA KUSHANGAA

COUPLE YA WIKI

Mchelle Obama na Bwana katika Official State Dinner ya kwanza tokea Obama achukue ikulu ya USA. vazi moja swafi lilibuniwa na mbunifi asiye hata na jina kubwa ktk fani Naeem Khan Mmarekani mwenye asili ya India. Kitu cha gold hicho kimenivutia mpaka wiki hii naandaa The Golden Party Live na Machozi Band - Friday pale pale Zhong Hua Garden. ntatoa maelezo yake zaidi baadae

Mbunifu wa mitindo indian american Naeem Khan, alompendezesha Michelle Obama na vazi lake hapo juu
11.24.2009
NAOMBENI KUSAIDIWA KU DISCUSS HII MADA KUHUSU UHALISI WA MAVAZI YA KIAFRIKA

Imekuwa ikipigwa vita sana hasa kwa baadhi ya wasichana wakionekana wamevaa vi top na kuacha vitovu nje, (wala hata sio maziwa) na kuambiwa kuwa wanatembea uchi.Na kwamba hayo sio maadili yetu....
Na hiyo inatokea pale wanapokuwa wamevaa nguo zilizobuniwa kisasa
Lakini ikitokea wameacha maungo yao wazi kwa nguo za kiasili haionekani kuwa ni neno sana, pengine huonekana kuwa ni sawa kabisa
Sio kwamba hao wanaotengeneza hizo nguo kisasa wameiga maadili yetu na kutufanya kuyachukia na kudhani maadili hayo sio yetu??
Nauliza tu jamani...
Maadili yetu ni yapi?
Kama kuna mtu ana picha zaidi za nguo za kitamaduni anisaidie hasa za Kitanzania
Mimi nadhani hawa kina Lady Gaga na kina Madona wamechukua style zetu wakazi pimp na kuzifanya kama za kwao.
Subscribe to:
Posts (Atom)