THIS BLOG IS SPONSORED BY

THIS BLOG IS SPONSORED BY

7.19.2009

SANYA SANYA JUMAPILI THAI VILLAGE

Producer wangu wa kwanza kabisa, tangu album ya kwanza Machozi ni Master Jay..tuli achana kitambo kidogo, lakini nimerudi tena MJ Records. Na single ya kwanza itakayo toka kwenye album yangu YA 5, "NATAMANI KUWA MALAIKA" ...Imetengenezwa na Marco Chali ndani ya MJ Records

Marco Chali huachiiiiiiiii, kishatengeneza mpaka na tshirts....kwa order maalum tuwasiliane, ila kila mtu anaetaka analeta picha yake ya utoto, tunatoa special order...Huyo hapo juu ni producer Marco Chali enzi za umalaika wake kabla hatujaanza kupigizana makelele studio

Mhh Adam Mchomvu nae anapenda picha wajameni, sijui kwakuwa ni kaambiwa ni photogenic... ntasutwa

Kumbe nimekuwa Teeeeeeeeeeeeja, teja wa mapenzii kama nimebwia ungaa oooh sijiwezi, Jamani nimekuwa Teeeeeeja

Samahanini sana mie sio Teja eeh!! nilikuwa nawazuga tu, nyimbo ya Manka Imeniiingia.. Teja atakuwa handsome hivi, chezea???????

Mduara wa Mwinyi Goha, mtarimbo doro

Flowers

Flowers

Manka na Captain Albi wa Swiss Air, mshkaji wangu kila akitua bongo tupo nae

Facebook hutuunganisha watu, mchizi kama masihara nilikutana nae facebook..leo tuko nae Machozi Band..Mr.Fuady Eddy

Manka, Captain Albi na cab crews wake

Manka na Massawe, always kumechisha. fashion iko kwetu. chezea sie????


8 comments:

Anonymous said...

Napenda ulivyovaa Jide. Hii colour inaku-suit sana.

Anonymous said...

nimependa nywele zako ulivyotengeneza...zimekupendeza sana pia rangi ya kucha uliyopaka ndio rangi nayoipenda kuliko zote lol....uko juu komando..cheers

Yusuph said...

Fuady hupitwi me naona sikuwezi kabisa,kweli facebook inakutanisha watu,haya hongera.Me ntakuwa next.

Anonymous said...

hi jide naomba unitolee tangazo la nafasi ya kazi, liko hivi: Anahitajika mfanyakazi(nafasi moja) awe amemaliza kidato cha nne na awe na ujuzi wa Computer , umri kuanzia miaka 20. Eneo la kufanyia kazi ni Kariakoo kwenye duka la kuuza kwa jumla na rejereje vifaa vya shule na maofisi. Jina la duka ni FAYALL. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15 mwezi wa nane. Andika barua kwa meneja wa duka P. box 10503 Dar es salaam au apige simu kumuulizia meneja wa duka katika namba 0753 631626 kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 10 jioni.Shukran jide

Anonymous said...

nitakuwa na wivu kama sitakusifia Jide, umependeza sana na style hiyo ya nywele pia ulivyovaa

Anonymous said...

majan jide umependeza,jaman 2wekee picha za haruc ya irene uwoya kama ulihudhuria

Anonymous said...

manka huyo ndio capteni original.

Anonymous said...

UMEPENDEZA SANA JIDE