Thursday, September 3, 2009

TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT AWARDSKutoka kushoto ni Mkuu wa kamati ya tuzo hizo Aunt Sadaka akiongea na waandishi wa habari, katikati ni Mkurugenzi wa Frontline Management Irene Kiwia, na kulia ni aliekuwa Miss World Africa Nancy Sumari ambae ni events director wa Frontline
PRESS RELEASE

Frontline Management launches Tanzania Women of Achievement AwardsFrontline Management, a local Events and PR company introduces the Tanzania Women of Achievement Awards.
These prestigious awards seek to recognize women in different sectors, currently working in the geographical boundaries of Tanzania, paying tribute to the most exceptional and achieving women in the country who have not only achieved success in their own respective fields but who have made a tangible difference in communities and society as a whole.

“Tanzanian women have long been at the forefront of achieving political, economical and social equality in our country. They have worked passionately over many years for uplifting and increasing prosperity of their families and communities in general.

It is due time that these efforts are acknowledged and commended “said Irene Kiwia, managing director of Frontline Management.

Kiwia further explained “We aim for the Awards to grow and enjoy national status as the pre-eminent awards for women and gain the interest of Tanzanians, the public and the private sectors as by highlighting individual successes the awards both celebrates the incredible achievement of women and provide crucial role models to encourage more women to follow in their footsteps.”
All women of all ages, background and social status are invited to participate as long as their work has been prominent in the last 3 years and have improved the social and economic situation of the community and Tanzania as a whole.

All Tanzanians are encouraged to participate, urged Mrs. Sadaka Gandi the head of the awards committee “we encourage Tanzanians to come forward and nominate themselves, friends, family or colleagues.
We need more heroes and role models in Tanzania as without heroes, we are all plain people, and don’t know how far we can go.”The judging sessions will include a committee of 8 outstanding Tanzanians from different aspects of life who will select three finalists in each of the eleven Award categories – Arts and Culture, Information & Communication; Public Sector; Young Achiever; Business Entrepreneurs; Education; Health; Science & Technology; Social Welfare; Agriculture, and Sport.
The finalists will undergo individual interviews by the panel of judges to determine a winner per category, as well as establish who will be presented with the overall Woman of the Year accolade. Nancy Sumari,the events director at Frontline Management said, ‘The category winners and overall winner will be announced during a gala event that will take place on the 27th of November 2009 at the Mlimani City Hall where the winners will receive cash money prize, trophy and recognition.

The nomination forms can be obtained and filled online at http://www.womenofachievementawards.co.tz/ or call: 0614 105 186Email ; info@frontline.co.tz

15 comments:

nancy said...

Thanks so much for your support jide...sasa bado kukuteua tu katika ya wanawake wenye mafanikio,ama?

Much Love,

Anonymous said...

Nancy na Irene kwani ile project yenu ya kisura imeishia wapi?au mmeamua kuhandle yote?
anyways ni kitu kizuri pia.ol the best babes.

Anonymous said...

mmh! tv show waliyokua nayo na mambo ya modeling iliishia wapi?mara mwisho nilisoma wale warembo wakilalamika wamenyimwa zawadi?/wametapeliwa?

mwaka huu wameibuka na nyengine.haya wanawake na maendeleao.

NB. Nancy ina mana asingekuweka hapa usingemteua?na akikataa hutomteuwa?makubwa haya.Bongo tambarare.

Anonymous said...

ile tv show ya mimi ni kisura najitambua inakuja tena very soon, wala hawajaitupa

Anonymous said...

Just for your information mshindi wa mwaka jana wa kisura hakutapeliwa alipewaa contract yake ya modelling SA kama alivyoahidiwa. shindano tangu mwanzo lilihitaji mshindi mmoja tu, na liliahidi kumzawadia mshindi huyo tu, na hakukuwa na ahadi nyingine.. sasa kama magazeti ya udaku yaliamua kutunga habari za kuuza magazeti msipende kuamini kila mnachokisoma na kulaumu tu bila kuelewa jambo kwa undani. Nancy na Irene hawako tena na project ya kisura, wameendelea na mabo mengine, pengine mkataba wao uliisha, lakini sasa wana hii women of achievement awards. huo ndio ukweli wenyewe.

Anonymous said...

Irene na Nancy waligomba na Julie ambae ndio mwenye idea ya Kisura na mwenye kampuni ambayo Irene alikuwa anafanya sijui inaitwa vitu gani sijui kila mtu anajua hilo jamani... mwenye idea kaamua kuendelea ki vyake na anaanza project ya Kisura hv karibuni kama mnavyoona inaruka TBC

Anonymous said...

Mhhh!! mbona tumesikia kwamba hiyo Idea ya kisura ilikuwa ni ya Irene na Nancy na ndio walikuwa wanaenda front, ambayo ilikuwa Tanzania next top model na Irene na Nancy walitoa na walipiga mpaka picha kwenye flare magazine, na huyo dada mwenye bla blaa company ltd ndio alikuwa mwenye kampuni hela inaingia kwake. lakini cheque zikiingia akawa anawadhulumu wenzake, ndio maana mabinti wa watu wakaona isiwe tabu wakaamua kuendelea kivyao vyao. Naskia ugomvi ulianzia hapo. Lakini kwa ninavomjua Irene haogopi na atatuambia ukweli, keep it up gals (Irene na Nancy)u rock big time

Anonymous said...

sio lazima kila mtu asuke/avae lace wig!!

Anonymous said...

Wabongo bwana , nahisi nancy atajiteua mwenyewe na kujipa tuzo.

Anonymous said...

Nancy kwaio unamuuliza jidee kama anataka kuteuliwa ama..au vipi?..Basi mtapeana wenyewe kwa wenyewe na real women hamtowapa wala hamtowatambua....Mnatuboa..jaribuni kua tofauti..

Mkereketwa.

Anonymous said...

wazushi tu mbona hiyo website siioni ntavote vipi?

Anonymous said...

Nancy au mdau yeyote anaeweza kunijibu pliiiz naomba mnisaidie kwa hili.... mimi binafsi nilipoona na kusikia Nancy ameshinda miss world africa yaaan nilifurahi mnooo na nikajua sasa dreams zake zimetimia na ameshawin maisha na aliniinspire sana nikaona yuko next level yaan atapata contracts na makampuni ya nje,in short nilijua atakuwa mbali zaidi kwenye masuala ya urembo.
nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana kuona ameachive nini baada ya kuwin (maisha yake baada ya kuwa miss world africa)frankly speaking sijaona lolote la maana ambalo huyu binti amefanikiwa zaidi ya kujulikana na kuanzisha hivi viproject vidogo vidogo.
sasa haya masuala ya urembo nini faida yake lakini?(nazugumzia kwa hapa nchini) au Nancy alimess up somewhere?
mimi kwa kweli imenikatisha tamaa.....
Haya ni mawazo yangu na kama kuna mdau anajua zaidi si vibaya kama mkinielimisha.

Anonymous said...

Angalieni tu msije mkapendelea jamani msije mkaamua msiwepe watu ambao mna ma beef nao au ambao hampatani... Angalieni kwei avhievements za watu maana kuna watu tunajua hampoa marafiki nao kihivyo na kwakweli they deserve an award we hope that mtaampa..... Sema nikitu kizuri mnachokifanya..... Tusubiri hizo tuzo msituletee tu zile Tuzo za filamu kila siku tunaona malalamishi yake kwenye kipinDi cha bongo movies

Anonymous said...

Huyo mdau hapo juu kaongea bonge la pointi,
Please Nancy sisi kama watanzania wenzako wenye watoto na wadogo zetu ambao wanatamani kufikia hapo ulipofika wewe so please tell us ilikuwa ni kutangazwa na kupata ummaarufu tuu no future?

Anonymous said...

kwani future maana yake nini maana naona watu wanapenda kuropoka tu bila mpango.. kwani hiki anachokifanya sio future? eti project ndogondogo.. wewe yako iko wapi? for ur info nancy is only 23 yrs old.. hii ni project yake ya pili kuubwa.. kisura did very well and it was all efforts za nancy na irene. ni kweli huyo julie nasikia alikorofishana na irene. walikuwa mapartner lakini huyo dada ukorofi mwingi, kazi hafanyi kila siku kelele, na pesa akamdhulumu dada wa watu. lakini mtu ukiwa na kichwa hata udhulumiwe vipi maisha yatapeak tu.. haya sasa irene amefungua kampuni yake contracts za kumwaga na project ya maana hiyo anafanya. kisura inaendellea lakini so far class imeshuka sana.. na tuone! big up nancy and irene! you have great presents and definately bright futures!