Friday, October 9, 2009

SEXY REHEMA CHALAMILA JUKWAANI


68 comments:

PM said...

nazidi tu kuchana bibie, sijamuona recently, sijui viuno bado vipo, ebu Jide tuelezee maana we ulimuona live juzi tu? Ila wimbo wake wa nipe Luv uko full vibaya!

Anonymous said...

Kabadilika lakini yupo vizuri

Anonymous said...

kweli jide umeishiwa!!!

Anonymous said...

Jide, vipi dada yetu Elizabeth mbona umemchunia? tunoamba walau umpigie "debe" kupitia blog yako. Nadhani kwa sasa Eliza anahitaji more votes kabla ya saturday.

ALBERTO AQUILAN said...

BERTO AQUILANUDENDA UNANITOKA NIKIMCHEKI HUYU MTOTO WALAI...

Sab said...

Rehema mama mbona tunashindana nyama sasa mmh kiuna bila mfupa kipo kweli umekunywa mtori nini.ila bado tunakukubali tafadhali rudi kama zamani.we still lv u mamiiiii

Anonymous said...

PM me nilimuona amekuwa mkubwa mifupa imekomaa amekaza kiuno hakuwa rayc ninayemfahamu.Kaza buti Rehema!


Mariam

Christine said...

Jide sasa unaanza promo, wenyewe wanakupigia?

PM said...

Mariam, thanx. Kweli akomae na mazoezi arudi kama zamani, tunazikubali songi zake ila na viuno vilikua vinaongeza ladha!

Anonymous said...

jamani Rehema umependa sana maana umejaa vizuri ila mpendwa usizidi bac angalia misosi unayokula sawa mama,,
Mumy G, Swiss, Gnv

Anonymous said...

Manka unatumia perfume gani nataka nikuletee zawadi siku nikija, sio kwamba nabembelezea top mimi nakupenda kikweli kweli hata usiponita hizo tops

Anonymous said...

Manka unatumia perfume gani nataka nikuletee zawadi siku nikija, sio kwamba nabembelezea top mimi nakupenda kikweli kweli hata usiponita hizo tops

Anonymous said...

Manka unaona zawadi tinatoka kwa vipenzi vyako,Anony 5:34 upo wapi ili na watu wengine wakupe zawadi umpelekee

Ima (The Designer) said...

Ray C alifunika ila amenenepa sn. Jide hivi yule dd wa kuitwa Renee Lamira yoko wapi this days

GK said...

vipi picha za show ya maisha club ya jumatano ya wiki hii? wengine tunalea hivyo hatuwezi toka,unatusafisha macho sana unapotuwekea hizi picha bloguni.Mie sichoki kukwam,bia kuwa nakupenda saana

Anonymous said...

mmmm no comment hapo!!!!!!!!!!!!!!!!!!


leo zhou garden people.

cute smile

GK said...

KUMBE NDIO MAANA UNA MAENDELEO,DAIMA USIPOKUWA NA WIVU WA KIJINGA NJIA YAKO YA KUFANIKIWA UWA NYEUPE.MIE SIONI MBAYA KUMPA PROMO MSANII MWENZIO,HAPO TENA UNAMAASISHA USHIRIKIANO.WEWE NI MFANO MZURI WA KUIGWA NA UNA KILA SIFA ZA KUWA ROLE MODEL,UKO JUUUUUUUUUUUU

Jide said...

GK Maisha ni Club, na Clubs nyingi huwa hawaruhusu kupiga picha ndio maana huoni mambo. Ila Zhong Hua na Thai Village no limit

Anonymous said...

Jide unafanya nini sasa hivi? tupe basi picha hata za hapo ulipo tule kitu live n clear au wadau mnaonaje

Anonymous said...

Jide majibu mazuri raha humu tunaelimishana mengi au?

Anonymous said...

We hata picha ya hapo ulipo

Anonymous said...

Kwakweli Jide unatuboa sana kama huna kazi na company tafuta kitu kingine cha kufanya, achana na maswala ya ku chat na watu hapa ni sehemu ya comments, hivi mbona watanzania washamba sana na mna miss use vitu namna hii? hivi mnaelewa kweli maana ya blogs

dja said...

Jmn Manka mbona ujajibu unatumia perfume? au utaki zawadi weye?

dja.

Anonymous said...

Anony October 9, 2009 6:21 AM aliyekuita huku nani,hatujui maana ya blog hilo sio juu yako tuachie raha zetu mdomo wako angalia sana

Anonymous said...

Jide mjibu mwenzio zawadi gani usijali watu ambao wanakukatisha tamaa tuko pamoja daima

Jide said...

Niko home nafanya usafi huku na chat, Camera sina ba mwenye nyumba kasafiri nayo ila baadae nitapata nyingine. Zhong Hua mambo yatakuwa shega, @DJA Perfume kwakweli sinaga chaguo maana kila inayonivutia mie twende kazi.

Anonymous said...

Jide mtu ambae humjui akisema chochote ambacho haukipendi kukukosoa wewe wala kisikuumize maana binadamu tupo tofauti katika ufikiri

Anonymous said...

Jibu zuri Manka, dja upo wapi kama kunauwezekano wengine wakupe zawadi umpelekee Kipenzi chetu Binti yetu machozi

Anonymous said...

Eti Jide naskia una mimba ni kweli? maana mi sijakuona siku nyingi watu wanaongea hivo kutokana na ile video mpya ya malaika, samahani kama nimekukwaza ila nauliza kwa nia njema tu

Jide said...

Hapana sina mimba nimefunga loop

Anonymous said...

Jide naomba nikujibie hili Anony October 9, 2009 6:42 AM Hiyo mimba we ndio umempa au upo katika maandalizi ya kumlelea mtoto wake,kwanini binadamu wengine hawataki kuheshimu maisha ya watu, alikuambia bila mtoto haishi?Hujamkwaza popote ni mdomo wako ndio unajikwaza kama huna la kusema usiingize yasiyo husika humu.Mimba unayo wewe sisi hayatuhusu.

Anonymous said...

Aaa! bwana Jide kwani kila kitu lazima ujibu, wengine wanakusanifu trust me. Magazeti wajanja wanatuma watu wao halafu kesho utasikia wamekuandika ulivosema mimi inaniuma sana, maswali mengine ni ya kizushi tu jamani. Nakushauri ujibu maswali ya kimuziki tu na band yako plzzzz

Anonymous said...

Mi nimekujibia Jide hilo linamfaa sana

Anonymous said...

Wawe magazeti au chochote humu tutawarekebisha

Anonymous said...

Anony October 9, 2009 6:42 AM nadhani utafetheheka kwa mbio tulizo kukimbiza nazo.

Anonymous said...

Manka wangu usiogope maswali ya watu yatoe tutawafunza adabu watakoma kurudi humu

Anonymous said...

Manka si unaona maneno ya mkosaji nia yake njema imemponza

Anonymous said...

Manka niachie mi kazi ya kuwafunza watu wenye midomo?

Anonymous said...

Mi niko bongo, nilikuwa najalibu kumkumbusha Manka tu maana naona hakumjibu aliye mhulizia anatumia perfume gani.

dja.

Anonymous said...

dja hakuna tabu tutafuta wengine wamletee Kipenzi chetu Manka zawadi.

PM said...

Hii si ilikua topic kuhusu kiuno bila mfupa ama nimeingia choo cha wanawake? maana hizi comments naona Mmh! kaaaazi kweli kweli!
Jide hujambo jioni ya leo?

Anonymous said...

Manka ombi ukimaliza show uwe unaweka picha usiku huo huo tuenjoy na sisi tusioweza kuhudhuria,Natanguliza Shukurani.

Jide said...

PM sijambo kabisa hofu kwako

Christine said...

Manka we unaambiwa chagua perfume unasema perfume yoyote. We shauri yako, Anony October 9, 2009 5:34 AM akikuletea Cobra usikatae itabidi tu ujipulizie hiyohiyo hadi iishe. Is better ungemwambia hata mojawapo ya ulizowahi kutumia.

Jide said...

Picha usiku baada ya show itakuwa ngumu, maana nakuwa hoi bin taaban nalala wee mpaka kesho yake mchana. Ila nitaangalia itakavyokuwa

PM said...

Mi namshukuru Mola niko poa, na ndo nimeshatoka mzigoni, just missing home! Say hi to watu wote wa blog leo Zhong hua!

Anonymous said...

Hakuna tabu kipenzi chetu nafasi yako unajua tena maisha kuangaika tutasubiria tu yavuta heri

Anonymous said...

Usijali manka tunakupenda sana

Jide said...

Ah Christine Cobra tena mwaka huu 2009-2010?? Huachii!! huyo atakuwa hajaamua kuniletea zawadi bali kunikomoa. Kha!!

Anonymous said...

Manka usijali zawadi ambayo huipendi ni ukumbusho labda ndio uwezo wake usimukatishe tamaa tumetofautiana

Anonymous said...

Manka angalia chat isije ikakusahaulisha kwenda kazini maana humu patamu

Anonymous said...

Manka wangu mpenzi kazi njema na kila la heri sie ni picha na matukio tunafurahia sana

Chicken Finger Lickin..Cluck Cluck said...

jide usisahau kuleta mapicha picha si unajua ma chicken finger lickin..alll the timeeeee ..lemmi hear u say CLUCK CLUCK..hahahahahaha...yeeeaaaaaaa

Anonymous said...

Kweli Jidee mchumba wako ana bahati kuwa na mtu kama wewe.,yani huna wivu hujidaii na unaheshimu kila mtu.Unafaa kuwa mama watoto.Hivi kwanini hutaki kuwa na mtoto?unaogopa kuzeeka?au unataka kuwa kama Madona wa kujitafutia watoto wawatu.

Anonymous said...

Anony October 9, 2009 12:45 Umesema anafaaa kuwa mama,Huyo mtoto unayemuuliza kwanini hana una maana gani,mbona mnataka kumpangia binti wa machozi jinsi ya kuishi!Kwanini msizingatie yanayowahusu.Mnakuja humu na midomo yenu ya nini?

subilaga said...

Hey Jide,
jamani kweli huyu binti ni mzuri! yani mguu na hiyo buti kapendeza kama alizaliwa nazo,
sina zaidi ila kusisitiza Rehema is one byutifull woman!
mdau New York

lema one said...

jamani sisi binadamu atuishi choko choko haya dada mi nilikuwa bizzy bi bizzy alhough ukutaka hata kinipa hi mdogo wako na kunikaribisha kwenye hka kamtandoa maana moshi siku hizi zimefika vinakilishi ok keep it up dada huko juuuuuu

Anonymous said...

Uliza ww PM tulikuwa tunamrekebisha Reheha aka kiuno bila mfupa nashangaa mnaingiza mambo mengine jamani acheni stori zisizostahili humu!


Mariam

Anonymous said...

JAMANI KAMA MUNA ZAWADI THEN BUY IT FOR HER NO NEED KULIZA OF COURSE KUNA ZA KIUME NA KIKE SO GET HER THE LADIES STUFF. ATAFURAHI TU" ACHENI HIZO KUCHAFUA BLOG TOPIC NI REHEMA SASA MAMBO MENGINE YANATOKA WAPI? KAA UKIJUA SHE IS MARRIED AND GOT A HUSBAND NA SIO KWAMBA NI MCHUMBA KAMA UNAVYOSEMA. PLEASE MPE HESHIMA YAKE KWA KUTULETEA HII BLOG YA KUTUFURAHISHA. KAMA HUPENDI BASI DONT GO THROUGH IT!
JUST MY

Anonymous said...

Bora RayC umenenepa maana nilikuwa nimeshaanza kuwa na mashaka juu ya afya yako jinsi ulivyopungua sana kipindi cha nyuma. Jamani nyie watu mnaomsakama JIDE na suala la mtoto hayo yote ni mapenzi ya mungu kupata mtoto au kutokuwa nae. Mimi nafikiri dada yetu JIDE anapenda sana kuwa na mtoto lakini mungu bado hajamjalia. Lakini kwa baraka zake siku moja nae ataitwa mama Ghati au Mama Robi since ni mwana wa Wambura. kaza buti Jide wala usibabaike na maneno ya wakosaji.


Ndugu J kutoka kanda ya Ziwa (Tarime)

Anonymous said...

Kwani mmeambiwa mtu akiwa mnene ndio hana Ngoma...Ngoma haijalishi kama u mnene au mwembamba.

Yeyote mwenye damu anaweza akawa na ngoma.

Kuhusu Jay D na mtoto,kama unataka awe na mtoto njoo nikuzalishe halafu umpatie,mbona hakuna aliyekuuliza kama una mtoto au hauna wewe na mdomo wako.

Anonymous said...

Wewe Anony.... wa October 10, 12:52 nafikiri hujasoma vizuri maoni ya wadau hapo juu ndo maana unanishambulia kuhusu mtoto, kuna watu wameuliza kwamba "nasikia Jide una mimba? n.k. sasa unafikiri mimi nimezuka tu from nowhare kama wewe na kushambulia. soma kwa makini kabla ya kulipuka, umenisoma? na unifeel ok!

Anonymous said...

upo juu siz

Anonymous said...

Big up Ray c kwa kunenepa, wabongo hatuna maana, ulivyokuwa mwembamba walisema madawa ya kulevya yanakudhuru, sasa eti kiuno hawakioni komaa na maugali dada wabantu hiyo ndio miili yetu,mpaka umfikie Stara Thomas.

Merido wa Mtwara

Anonymous said...

jide nakupenda.pls say u lov me too naweza kuprint copy nikamounyeshe mama nyumbani.

Ciara
Mabibo

Zaynab said...

Hilo jibu huna mimba umefunga LOOP udaku lazima wapate la kuuzia magazeti we utaona lazima heading za ajabu zijitokeshe hahah umenifurahisha

sabina said...

msalimie johniko flower jaydee,jioni njema

Ricca said...

ray c my gal...no no no....y ur bcumin so heavy weighted ma?pliz rudi kma zamani mamaaa,rudi tu i beg u n u will capture everybody's attention again,now i think ur not as sexy as b4,na performance yako pia imepungua mamaa.am ur fan n ur fellow gal,i lov u very much so please do some more exercises ili urudishe kaumbo kako kale kalikokua kanam'turn everybody crazy....my dear hope u will work on my comment.