THIS BLOG IS SPONSORED BY

THIS BLOG IS SPONSORED BY

11.03.2009

COUPLE OF THE WEEK

Kinjekitile Ngombale Mwiru na Wifey wake Anita,
ndio wamechukua shavu wiki hii,
Bibie kama anataka kufanana na Rihanna hivi kwa mbaaali

66 comments:

Anonymous said...

Oh!Yes Rihana wa bongo,lovely couple kazi nzuri.

Jide said...

Mlioanza nongwa sita post comments zenu kaeni nazo chumbani kwenu mjisomee ziwaburudishe sisi hatuzihitaji humu

Anonymous said...

Jide Ungemuacha uone kesho wapambe watavyompa vidonge vyake

Anonymous said...

Manka si unajua tena binadamu tupo tofauti wengine hawajui kufikiria ni kuropoka tu hivyo usiwajali waweka tuwafunze adabu wasirudi humu

Yusuph Mzimba said...

Jaydee mimi huwa sicomment kila nikiingia hapa nasoma na kusonga ila leo naomba niseme kitu kimoja kuhusu huyo dada mara ya kwanza nilimuona katika kipindi cha Nirvana nikaja kumuona pale ubalozi yeye na mumewe kiukweli She is Beautiful.Tuache kuwa negative kama kitu kizuri watu tuseme tu hata kama hupendi huo ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli.Nice couple na mmependeza.Asante

Anonymous said...

Nice looking couple. Nadhani mtototwao atakua mrembo wa haja!

PM said...

Safi sana, maana wanatuboa sana na comment zao za kipuuzi! Thanks Jide. Vipi afya yako lakini?

Anonymous said...

yes hata mimi naona.... Rihanna mtupu kama pacha wake vile.......WINK!!!!!

Itika said...

Mhhh jamani huyu Mdada ni Mzuri she is young, beautiful and everything ...hongera Bibie na hongera Kinjekitile kwa kuchagua chombo khaa! please Mpe One Love Mtoto wa watu

Anonymous said...

Wamependeza sana sana kama wapo mamtoni vile. Gud job jide

Anonymous said...

tatizo hawana uwezo wa kitu chochote kazi yao kutegemea vya watu hao washamba wote wanaotukana humu wakafungue blog zao basi kama ze utamu mbona wanaogopa kama kweli wao majasiri? hongra Kinje na Anita watasema sana ila ndio imesha andikwa, poleni wasichana wa mujini

Anonymous said...

Dada,mbona mimi wa2 waliniponda kuwa napigwa na mke wangu(kitu ambacho ni kweli)uliruhusu comments hizo kwenye blog.....si uruhusu tu jamani! acha ubagusi aisee Manka!...raha ya blog ni comments za wadau

Jide said...

Sasa wewe mwenyewe si umeshasema ni kweli unapigwa na mkeo na kwakuwa nililitambua hilo ndio maana niliziachia kwakuwa najua unafurahia, ha ha ha haa ila pumba nyingine nooo!!!

Anonymous said...

jide sasa change rangi yako purple imekuwa too much sasa!!! alafu nimeona a picture of you ukiwa umebana nywele you look young and sexy kwanza it gives you a slight face lift achana na hizi style za kina naomi campbell, kingine unguo kama uliyo vaa kwenye redparty it soo suits you you looked hot in it....you don't have to post this itumie kama advice too

Christine said...

jide we ni noma, mambo yako yanatia raha kwa kweli. asante kwa kazi nzuri shosti

Jide said...

Anony wa nov 3, 10:04pm imebidi ni post coment yako ili nikueleweshe hapo niko kikazi zaidi, natangaza nywele. Ni hayo tu, nunua gazeti la Shear (Hair & Beauty) utanielewa. Asante lakini kwa ushauri wako ni mzuri sana Mungu akuongezee moyo wa kujali na ukarimu

Anonymous said...

Mimi niko tofauti kidogo.
naona kama huyo dada anafanana na Alisha keys!!!!!!! kwa mbali.

Jide we kula vichwa mama. Tengeneza pesa, weka style utakavyo ilimradi inalipaaaaaaa.

disminder

Sab said...

Nice couple.Jamani uyo Anitha ni mzuri kama mdoli nampenda sana.Manka mtu anaekashifu watu ni bora izo comment zake akae nazo chumbani kama ulivyosema blog sio ya majungu ni kuelimishana kama unaona mtu kakosea mwambie kwa maneno sio matusi na kashfa.

IRENE MGAYA said...

Waaaw Anita nimesoma naye Cornelius gils Academy nafurahi kuona unazidi kupendeza kama kawaida yak, jas wanna wish you happy life with your lovely family lol....

Anonymous said...

Jide you look beautiful in Purple. Nakupenda sana! Pia Kinje na Mke wake wamependeza sana. Na huyo mtoto kweli kafanana kabisa na Rihana, ila huyu wetu mrefu na mzuri zaidi ya Rihana, taking to account Rihana hajazaa bado!

Zaynab said...

mmh i wish nimuone huyu Anita akiwa ameweka style ya nywele ya Rihanna maana anaona atakuwa pacha kabisa nice couple mungu awajaalie inshallah mdumu katika ndoa yenu yupo yule kid wenu atakuwa mkubwa sasa nilimuona kwenye bang magazine

Calonga said...

Good looking couple! They look nice together, Mashaalah!

Ima (The Designer) said...

Shem, wife wa mshkaji yuko powa sn ni km Rihana 4 real,Vip mchuma umesha tenge neza? na ww vip uko powa na malaria?

Chakalaka Boom said...

Nimewapenda! wamependeza!

WB said...

Jide nice couple I love them ile Kinje angalie makulaji maana anazeeka sasa wakati ni mdogo.

Anonymous said...

ANITA NI MZURI KULIKO RIHANA!

ALBERTO AQUILAN said...

Penye ukweli uongo hujitenga..Anita kwakweli ni kifaa cha kufa mtu..ila mimi nauliza kuna ubaya mke kuwa mrefu kuliko mme? Hivi kuna sheria yoyote inayosema mme ndo awe mrefu au kitabu chochote cha dini eg bible au quruan au ni mazoea tu?

Anonymous said...

Maaamaaa Gadner Mamaaaa anatesa Maanaa yuko Juuu kma Nyota kma mnaweza kamateni shikeni nyotaaa haooooo Bibi raha ya mwanamke mume tena awe Mwafrika mwenzioooo bibi damu motoooooooooo hata awe point 5 ni ana ka ublack .....Jide hao waliondika comments walijua wataolewa wao watakufa na kijiba cha roho az u said wasubiri afe ndo waendeleee kuchezewa haijalishi jide wape Hawajui wewe na Anita Round about watazunguka end of the day................Msg sent and delivery waosha vinywa bila dawa kutwa kuchonga ooh sie matajiri,mie nina hela 2 hell miss beee...............Fans wako wa roho winkyyyyy

The evil HR Lady said...

truth be told ! mke wa Kinjekitile is soooo beautiful and she keeps getting better by days, hope u reading this, you are so cute !
much love !

Anonymous said...

MANKA UNAJUA SAAANA KUFANANISHA YAANI ANITA ANAFANANA SANA NA RIHANA ILA MBONA HUJATUAMBIA J=KINJE ANAFANANA NA NANI?? KWA MAONI YANGU NADHANI ANAFANANA NA DR. REMMY..

Anonymous said...

nice couple
vibaka walie tuu
manjano mifupa aliyee tuuu

Anonymous said...

Jide mbona unajichanganya na wewe?yani hujui kujibizana na watu noma.Wanaonongwa kama hautapost comment zao unawatangazia hapa ili?ujue kujibizana na wadau sio flesh dada,,wewe najua wadau wote hapa huwafahamu na unaowafahamu ni baadhi tu.Ila wao wanakufahamu vizuli hata wengine ni majirani zako sasa haina maana ya kujibizana hapa.Wewe kama umeona comment haipendezi ingiza kapuni ujifanye kama hujaiona wala!! mbona kwaida dada?wanachonga sana lakini Saida alishaema wenye wivu waji......Ila samahani usinipige konzi na mimi. Ni ushauli tu.

Anonymous said...

Jamani mbona reference za Rihana nyingi.... huyo bibie ni mzuri in her own ways.. hii mambo ya kujifanisha ma mastar indicates lack of confidence,acheni mambo ya kufanisha na watu ma star sijui rihana, pididi etc.... Jide you are natural and beautiful with swagger!

Anonymous said...

Waooh! What a cute couple! Wamependeza sana. Na kwa wale wasiojua couple hii imebarikiwa kupata mtoto wa kike hivi karibuni kuongezea kwenye familia yao. Be blessed.

GK said...

nice couple, huyo mdada ni mzuri saaaaana.vp maralia jide? ugua pole wangu.luv u

Anonymous said...

Jide na wewe umeanza kujishauwa?chunga sana mtoto.

Anonymous said...

mmhhh great couple! wanajua sana kuvaa na kupendeza(esp ANITA) she alwayz lukz gorgeous meaning kinje takes a good care of her.Haters better stop hating coz haitawasaidia.

Anonymous said...

acheni kusemea gizani njooni huku hadharani tuwaone

Anonymous said...

Anony November 4, 2009 2:55 AM Jide kaanza nini? Hakuna cha kuchunga hapa,Mbona tujuavyo alianza zamani anaendelea tu heshimuni maisha wa watu mtaheshimiwa nawakilisha.

Anonymous said...

Manka usikubali matisho tuko pamoja achana na wachache wasio na lakufanya!

maida said...

YES!

nice couple, wanapendeza sana. acheni kuchonga wenye roho mbaya.

Jide unafiti kwenye rangi zote jivunie uzuri wako. always lv u

maida

Anonymous said...

Anita mrefu kuliko kinje. Ila kinje mfupi sana majority ya wanawake aliodatae ni warefu no problem mume kuwa mfupi zaidi ya mwanamke.Its okie, like janet jackson and JD

Anonymous said...

Anony wa November 4, 2009 2:55 AM, jide hana kujishaua wala nini naona we imekuwasha katafute wa kukukuna ila sio kwenye blog hii, hapa mnapewa fact tu haters kama nyinyi, janeth na kinje mko juu kama dege la jeshi!! manung'ayembe mtaishia kuchezewa tuu!!!!

Anonymous said...

Cute smile mbona kimya, unawaogopa hawa wajinga amka tuwashambulie hii ni blog yetu, by the way Kinje na Anita mko juu, kila anae qualify kuingia kwenye blog hii yuko juu. hivi jide kama nilisikia jina ka kinje kwenye uko juu au masikio yangu tu. naomba ufafanuzi tafadhali manka eeh

SHAA

Anonymous said...

she dresses so well, kinje provides the money(she is not working),whatever Kinje`s problems are(we dont wanna know)but for a fact he takes care of his young wife thats why after having 2 children she still looks gorgeous yote haya yanahitaji extreme care(kwenda gym, kununua pamba kali) so Kinje ur doing a good job my brother...congrats fo them.Nice looking couple.

Maggie said...

NICE KAPO........ WANAVUTIA SAAANAAA

Anonymous said...

nimefurahi kuwa umeona usientertain mambo ya kiswahili kwenye hii post ya couple of the week...watu wanapenda kuongea but wewe pia jide unaweza zuiya mambo mengine.Comment nyengine hazina kichwa wala miguu naomba ujaribu jide kuacha kuentertain uswahili na aliyesema mke wa kinje hafanyi kazi hivi mnajua huyu dada alivyo na anavojitegemea maana kasoma na si mjinga..,endelea na libeneke jide na kila la kheri

rahabu said...

du katika couple zote ulizowahi kuweka hii kiobko maana wameendana ile mbaya cjui mtoto wao yupoje au atakuwaje maana wote wazuri, dada hongera kwakweli nimekupenda unajua kuchagua na kinje unajua kuchagua hongereni sana.

Anonymous said...

HI Jd ,couples ni nzuri sana,na wamependeza,lkn i dont no labda ni mimi au kuna mtu mwingine pia,i find u a bit rood when somebody comment tofauti na jinsi unavyoona au kutaka iwe,nafikiri watu wana rights to their opinion(comment) hata ikiwa ni mbaya inatufanya tujifunze kutokana na makosa,lkn to me ukisema comment mbaya utazitupa kapuni,i dont think if we will get anywhere

Anonymous said...

huyu dada ni mzuri sana.kumbe huyu ndio kinje!kaka anapenda wasichana wazuri huyu.

LaMbegu said...

why people want to resemble superstars while they aren't one. She's pretty but rihanna, she isn't at all not even close.

Anonymous said...

hahahahaha the gal is qute kwakweli. urefu ufupi ni choice ya mtu huwez jua kapenda nn. in short haiusuuuuuuuuuuuuuu kabisaaaaaaaaa.

Anonymous said...

Jamani Jamani... Hii picha nilivyoiona tu nilijua tu italeta visa. Kinje kaacha wengi mjini hapa, so Jide labda ungeachia tu hizo comments ziwekwe na waosha vinywa. Walioachwa wote wangejulikana tu hapa mmoja mmoja. Maana siku zote mfa maji haachi kutapatapa.
Kuna sababa ukaachwa wewe akaolewa yeye wajameni, badala ya kunyoosha vidole na kumtoa kasoro mwenzio (tena asizokuwa nazo) ni bora tu ukajiuliza sababu ya wewe kuachwa ukazirekebisha ili usijegeuka wa kuachwa kila siku. Hii nimetoa kama 'genral comment' tu jamani.

Ni hayo tu.

Anonymous said...

kumbe na we shaa akili zako zipo kwenye unyayooooooo!mana ucngeweza kumwambia cute smile aamke!mwenzako kaona ujinga kama ww ulivyosema nashangaa unataka kuwashambulia tena hao hao wajinga!na we c utakua mjinga!unapenda ligi eeh!haipendezi mtoto wa kike jamani ukiona ujinga acha ili na uyo aliyeandika ajione mjinga mana we utakayetoa mashambulizi ndo utakua mjinga zaidi!KAMA KAWA MTOTO JIDE UPO JUU! couple imeenda xcl inapendeza sana.ni ushauri tu co malumbano!fans wa ukweli

Anonymous said...

SHAAA mamii wala siogopi mtu mie hapa nilikuw kimya nilimuachia jide kawashushua wale wenye roho za ndala aikawii kukatika watajujaaaaa.

anita na kinje ni wanandoa ambao mie nawaonaga tu ila kapo yao iko safi sana na wanapendeza mno.

kuhusu urefu na ufupi jamani mnakuwa kama wageni nyie mmeona urefu na ufupi je ware waliozidiana umri pia sio ishu hebu acheni yenu ya uvunguni kila wakati mnainamaaaa mnategemea nini kuinama kwenu hahahahahhahaahahahaahh.

jide hao wajinga wanao post umavi wao wewe wadelete hawana mtazamo wa mbele wao wanaangalia walipo kaaa tu maisha yao yapo kiganjani tuu.

cute smile

Anonymous said...

WANAFANANA MACHO KIUKWELI

Anonymous said...

sidhani kama kwa kumkosoa mtu humu kwenye blog mtambadilisha kwa hali yoyote ile kumbukeni kila anaeingia humu ni mtu na mzima na akili yake, kama ana mapungufu na ameshindwa kuyabadili mpaka leo hamuwezi kumbadili nyie. hizo coment zenu ni kujifurahisha tu na ndio maana jide kaamua haziweki, sasa mtu kaisha oa ya nini kuongelea mambo yake ya past? kwani nyie wote ma bikra au hamjawahi ku break up na kuanza maisha upya? acheni hizo

Kamanzi said...

Wabongo mmezidi kujidharau. Huyu dada ni mzuri kupindukia. Mimi ninauhakika kama yeye angekuwa Rihana na Rihana akawa yeye msingesema wanafanana maana huyu Anita sijui Anita viwango vyake vya TBS ni vya levo ya malaika. Hayo nikiyaacha, nakuhakikishia Kinjekitile nikirudi Dar mimi nakunyang'anya huyu Anita wako kama unamnyanyasaga maana huyu mtoto hatakiwi kusemwasemwa au kunyanyaswa katu. Mimi nasikia unatupesa twa baba yako Kingunge mimi hayo siyajui. Nakuja huko mwana wa kitaa na kazi moja tu, kumchukua huyu na kurudi nae Uarabuni labda aniambie hujawai kumnyanyasa. Mtoto yupo juu huyu ati

KBG said...

What a nice couple, jamni mmetulia kweli yaani. Compliments zenu hizooooooooooo. Endeleeni kupasua vichwa. Halafu Jide bora kabisa hujaweka hizo sms za hao wasio na maana. Achana nao, kivyetu vyetu na Blog yetu sie mwaya weeeee.

Kbg said...

Jide bora kabis umetoa hizo comments za hao watu coz hatuwahitaji in our lovely blog. The couple looks so good. Keep on loving each other. Endeleeni kupasua vichwa.

Lol

Anonymous said...

HIYO T-SHIRT ya huyo bwana mmmhhhh....hahahahahaaaa..ajaribu kuvaa kama wife wake....

Anonymous said...

haha haterssss.. bongo nzima vidada vilikuwa vinamshobokea Kinje,,,,alivokuwa anaoa mbona presha zilipandaaa..haikushuka wangu..ilikuwa inafika katikati kurudi mwanzo na kukatika hahahahaha muacheniiiii ANita ale maraha katoto kazuriiii kwanza hao wanaomlilia kinje ukiwaona wazee kama nini na roho zao nyeusii Pyuu!nice couple..

Anonymous said...

yaani am not hating or anything, lakini sielewi kwanini watu wanasema anafana na rihanna yaani hata hawafanani! i do think the girl is very beautiful tho. no offence but i dnt understand why she'd marry such an old man! but ni muenekano wangu tu...

Anonymous said...

the gal she dey 2 fine oooooo

KINJE said...

JIDE ACHA KUJIPENDEKEZA KWANGU!! UNA CHUJA COMMENTS ZA NINI?? SI ZINANIHUSU MIMI?? HICHO NI KIHELEHELE TU!!

Anonymous said...

I know Anita...have her to call me...Mike