kuhusu huyo ndugu yangu anayetaka kufundishwa kupika mwambie aende kwenye face book amtafute mtu anayeitwa ramadhani haruna chef la milenia wa paradise city hotel nadhani yeye atakusahidia tena mno ukitaka cheki mambo ya huyo chef katika blog ya lemaone.blogspot.com thgen utasema mwenyewe
Ima fanya uwajibu wadau kuhusu hiyo mikate jamani manake maswali yaja na majibu yake sina ati.@ Anony6:02AM Nipo Mpendwa ni majukumu tu ya utafutaji yananitinga ila pamoja sana wala msijali wandugu
Healthy Cake Zucchini(sijui jina lake kwa kiswahili. Ila liko kama tango kwa umbo ila muonekano wa ngozi yake ni kama boga kidogo) or Carot.Amua wewe ukipendacho. Pia waweza kuweka nusu Zucchini nusu carot. Jaribu na utaaminia. Sipendi ku bake cakes ambazo si Healthy.
DIRECTIONS: 1.Grese an flour two 8*4 inch pns. Preheat oven to 325 degrees F, 165 degrees centigrade. 2. Sift flour, salt,baking powder, baking soda and cinamon together in a bowl. 3. Beat eggs until creamy and fluffy. Add oil little by little. Add vanilla and sugar and continue beating. Add sifted ingredients to the creamed mixture and beat well. Stir in Zucchini/carot and nuts and mixt it by using wooden spoon . Pour batter in prepared pans.
4. Bake for 40 to 60 minutes. Test if its redy by insertin a sharp knife in the centre if it comes out clean then your cake is readdy. 5. Cool in pan or rack for 2 minutes. Remove it from pan and completelly cool.
*Usisite kuniuliza chochote kuhusu baking and cake decorating tips kupitia hapa. Sina blog ila napenda ku share na wenzangu ujuzi ambao Mungu kanijalia
Hi Manka, mie naomba kuuliza, najua kuna msiba mzito, je leo ijumaa utakuwa Zhong Hua, maana yake ujatuhabarisha, kwa dalili hizi labda hakuna sanya sanya leo, Please Confirm
Kwa kuongezea kwa Mama Mzungu, soma hapa http://sophiasclub.blogspot.com/2008/08/honey-buttermilk-cornbread-mkatecake-ya.html aina nyingine ya kutumia unga wa mahindi.Nilii blog mwaka jana.Asante Mama mzungu kwa hiyo tip ya kuweka zucchini
Mhhh its simple,hiyo ni mikate ya kawaida na zaidi utaikuta ktk super market, Then si unajua ss ma designer ni km ma professor una kaa na kitu unabuni then unaanza mambomambo mwisho unakuta umepata shepu flani hivi na ukiongeza ujuzi unakuta umepata picha kamili. sorry km jibu halija walidhisha ila kwa mtu anaye elewa Design atakuwa amenisoma.
wewe ima acha kupindapinda kama nyoka,jibu lako halijakaa sawa,wewe waambie kuwa umenununa mikate super market,ukakaa na KISU Ukaanza kukata kata,hiyo mikate inajulikana kabisa super market hujatengeneza wewe,umenunua ukakosa kazi ukaanza kuchezea kukata kata kama sandle,
20 comments:
Hai mama G' Haby!
mambo vp? za Dar? huku mwanza wazima. sasa jamani mbona hujatuwekea jinsi ya kupika hiyo mikate?
Tunaomba utuwekee na jinsi ya kupika cake ya aina yoyote, mie na mwanangu brian tunapenda sana kula cake.
By!
mama MUD
Mimi mwenyewe sijui jinsi ya kupika mikate wala keki, labda wanaojua watusaidie. picha nimetumiwa na na Ima (The Designer)
Manka kazi nzuri mbona kimya kingi mpenzi!Mzima lakini?
Dada manka naomba niulize hiyo white ni bread rose kwa ajili ya soup au? na hizo brown kwa ajili ya a carte maana sielewi
kuhusu huyo ndugu yangu anayetaka kufundishwa kupika mwambie aende kwenye face book amtafute mtu anayeitwa ramadhani haruna chef la milenia wa paradise city hotel nadhani yeye atakusahidia tena mno ukitaka cheki mambo ya huyo chef katika blog ya lemaone.blogspot.com thgen utasema mwenyewe
lol!nimeupenda huo wa chini huo.ina madhiwa lakini???
Ima fanya uwajibu wadau kuhusu hiyo mikate jamani manake maswali yaja na majibu yake sina ati.@ Anony6:02AM Nipo Mpendwa ni majukumu tu ya utafutaji yananitinga ila pamoja sana wala msijali wandugu
Kazi nzuri haswaa.
Healthy Cake Zucchini(sijui jina lake kwa kiswahili. Ila liko kama tango kwa umbo ila muonekano wa ngozi yake ni kama boga kidogo) or Carot.Amua wewe ukipendacho. Pia waweza kuweka nusu Zucchini nusu carot. Jaribu na utaaminia. Sipendi ku bake cakes ambazo si Healthy.
INGREDIENTS
3 cups all purpose flour
1 teaspoon salt
1 teaspoon baking soda
1 teaspoon baking powder
3 teaspoons ground cinnamon
3 eggs
1 cup vegetable oil
2 1/4 cups sugar
3 teaspoons vanilla extract
2 cups grated Zucchini/carots
OPTIONAL: Raisins,coconut.
DIRECTIONS:
1.Grese an flour two 8*4 inch pns. Preheat oven to 325 degrees F, 165 degrees centigrade.
2. Sift flour, salt,baking powder, baking soda and cinamon together in a bowl.
3. Beat eggs until creamy and fluffy. Add oil little by little. Add vanilla and sugar and continue beating. Add sifted ingredients to the creamed mixture and beat well. Stir in Zucchini/carot and nuts and mixt it by using wooden spoon . Pour batter in prepared pans.
4. Bake for 40 to 60 minutes. Test if its redy by insertin a sharp knife in the centre if it comes out clean then your cake is readdy.
5. Cool in pan or rack for 2 minutes. Remove it from pan and completelly cool.
*Usisite kuniuliza chochote kuhusu baking and cake decorating tips kupitia hapa. Sina blog ila napenda ku share na wenzangu ujuzi ambao Mungu kanijalia
MAMA MZUNGU
Hi Manka, mie naomba kuuliza,
najua kuna msiba mzito, je leo ijumaa utakuwa Zhong Hua, maana yake ujatuhabarisha, kwa dalili hizi labda hakuna sanya sanya leo, Please Confirm
Vipi new look ya home jamani...matumbo yanauma Jide!
dhaa hii design, haya asnte tutajaribu kuipika,
Mumy G, Swiss Gnv
Mh ima(the disigner) nmependa hyo mikate aisee
@jide umepona? Umependeza ktk hyo profile pic
@mama mzungu,thanx umetusaidia weng kwa recipe
mimi naona hii ni kufuru jamani mikate ikadesigniwa kama viatu,khufuru jamani
Kwa kuongezea kwa Mama Mzungu, soma hapa http://sophiasclub.blogspot.com/2008/08/honey-buttermilk-cornbread-mkatecake-ya.html
aina nyingine ya kutumia unga wa mahindi.Nilii blog mwaka jana.Asante Mama mzungu kwa hiyo tip ya kuweka zucchini
Asante Jide kwa makulati na asante mama Mzungu kwa kutupa njia.
disminder
sasa hiyo tunavaa au tunakula Jd?
Mhhh its simple,hiyo ni mikate ya kawaida na zaidi utaikuta ktk super market, Then si unajua ss ma designer ni km ma professor una kaa na kitu unabuni then unaanza mambomambo mwisho unakuta umepata shepu flani hivi na ukiongeza ujuzi unakuta umepata picha kamili.
sorry km jibu halija walidhisha ila kwa mtu anaye elewa Design atakuwa amenisoma.
hii inaonekana kua alofanya hivi kashiba sasa anafanya kufuru
Thx Imma uo ndio ubunifu sasa.nimependa.tubunie kitu kingine sasa

Post a Comment