Maandamano siku ya Ufunguzi wa Michezo ya Wizara, mikoa na Idara mbalimbali ya Tanzania ijulikanayo kama SHIMIWI,kwenye picha ni Wizara ya Ardhi Morogoro uwanja wa Jamuhuri.
Mh. Kapuya akifungua rasmi mashindano hayo siku ya kwanza, walicheza Uhamiaji na Kilimo, hapo anakagua timu ya uhamiaji ya Netball kabla ya kuanza mpambano katika uwanja wa Jamuhuri morogoro
Wizara ya Ardhi imekuwa bora kwenye haya mashindano kwa uwezo mkubwa wa kushangilia, hiyo ni kwaya pia ikijiandaa kuimba, hapo mbele ni Ester Ulaya.
Ester Ulaya akishangilia wakati timu ya Ardhi ikichuana na RAS Pwani kwenye uwanja wa saba saba Morogoro
Wachezaji wa mpira wa miguu Wizara ya Ardhi wakipumzika baada ya mpambano mkali baina yao na Mahakama
JUDITHI CHIKAKA, mwanariadha bora aliyeipatia ushindi timu ya ardhi baada ya kushinda medali 3 za dhahabu mita 100,200 na 800
12
comments:
Anonymous
said...
estherrr weeeeeeeeeeeeeeee duuuu nice picha maamaa tunataka watu kama nyie blog inazidi kutimua vumbiiiiiiiiiiiiiii
we anony hapo juu usidhani kila mtu anapenda kujikandika ma poda na kuficha uhalisi wake, huyo ni mwanamichezo na unamuona kabisa yuko michezoni ulitaka ajipodoe ili iweje? make up zina mahala pake kwanza wewe sio mzuri ndio maana unajificha
Hawa watu wengine muwe mnawaignore jamani, aidha hawana la kusema au akili zao hazina akili, huwezi kutoa comment kama hiyo! nadhani ni wivu tu, coz Esther yuko bomba kupita bomba kwa kusema ukweli wa Mungu, na sidhani kabisa kama anahitaji kipodozi chochote. Rangi anayo na sura kajaaliwa. Kamua mrembo, haters are there to make u stronger!
12 comments:
estherrr weeeeeeeeeeeeeeee duuuu nice picha maamaa tunataka watu kama nyie blog inazidi kutimua vumbiiiiiiiiiiiiiii
cute smile
Nafurahi sana nikiona wanawake tunawakilisha kama hivi.
JIDEEEEEE TUPE MAMBO.
disminder.
Esther umenibamba mbaya na hii picha, iko bomba vibaya! kumbe we mwanaspoti? hongera bibie!
Halafu Esther kumbe unatinga ardhi? ngoja nikija ntakutafuta unipe viwanja kadhaa, ahaa haaa! usijali bibie, ndo mambo ya kusaka mshiko haya, mtu hutulii, ila tuko pamoja. Nimependa nywele zako
Esther ulaya zingatia kutumia vipodozi... manake nilishtuka sana kuona picha yake. dahh!!
wawaaaaaaaaaa Estaaaaa,, mambo ndo hayo mwaya. Safi saaanaaaaaaaaa IDUMU BLOG YEEEEETUUUUUUUUUUU,, Esta tunazidi kusubiri matukio ya huko.
Esther kazi nzuri tuletee zaidi idu blog yetu.
we anony hapo juu usidhani kila mtu anapenda kujikandika ma poda na kuficha uhalisi wake, huyo ni mwanamichezo na unamuona kabisa yuko michezoni ulitaka ajipodoe ili iweje? make up zina mahala pake kwanza wewe sio mzuri ndio maana unajificha
Hawa watu wengine muwe mnawaignore jamani, aidha hawana la kusema au akili zao hazina akili, huwezi kutoa comment kama hiyo! nadhani ni wivu tu, coz Esther yuko bomba kupita bomba kwa kusema ukweli wa Mungu, na sidhani kabisa kama anahitaji kipodozi chochote. Rangi anayo na sura kajaaliwa. Kamua mrembo, haters are there to make u stronger!
PM.
Nimekubali maneno yako.
disminder.
Esteeeer mama thx a lot.tunafurahi kuona mambo mazuri kama hayo.keep it up my dear
ni kweli pm bora kuwaignore!ester una minywele jamani natamani niamishie kwangu!fans wa ukweli
Post a Comment