Magari ya zima moto yapo eneo la tukio kujaribu kuzima dakika za mwisho
Sasa sijui wanazima nini wakati kila kitu kimeshateketea
Inasemekana moto ulianza tangu mida ya mchana saa nane, na chanzo cha moto hakijajulikana na kama kawaida yetu sijui kama kitakuja kujulikana, ila tusubirie tu tusikie pindi tutakapopata tarifa zaidi
habari ya kusikitisha???..ni habari njema sana maana ilikuwa ni kitovu cha uovu,ulevi,uzinzi na uharibifu wa vijana wa Tanzania. Asante Mungu kwa kuendelea kuondoa haya kwenye nchi yetu. Tuzidi kuomba&kutubu ili Mungu aendelee kuisafisha nchi yake Tanzania. Amen
Haleluya, hatimae Mungu kaskie kilio changu, bado Thai Village na billicanas! Huko ni laana tu na kuambukizana UKIMWI! Afadhali ziunguwe zote..who cares! Hiyo kwangu si habari ya kusikitisha ni moja ya habari nzuri yakufurahisha sijapata ona..!
Mimi niko ughaibuni pia naungana na ndugu zangu hapo juu,Kweli mungu azidi kuonyesha ukakamavu kwakuteketeza hizo nyumba za kila dhambi.Ni watu weengi watakosa uflame wa mbinguni kutokana na hizo nyumba kweli mungu ataendelea kuonyesha kama ni mungu tuu.Na wewe Jaydee uwe macho dada yangu sio unakulupuka tu eti habali yakusikitisha,kwasisi tunaoshinda tunaombea nchi yetu kwamaovu yaliyojili hapo ni habali nzuli,na tunamshukuru mungu kwakuiteketeza yenyewe bila kiumbe kupoteza maisha,ili wasome namba .Amen
Hivi we nani cjui Nautiakasi mbona unakuwa ivyo! Hivi hujui ndio tunakaribisha umaskini zaidi hao wafanyakazi wataishije kama sio kuwa ombaomba kwa unavyojiona wewe utamshika mungu mkono! Hakuna mtakatifu anayeishi duniani wote hawapo tunawasoma kwenye biblia na kurani tu.Nani kakwambia UKIMWI unaanzia club?
Hivi watu mnatoaga comments ili kujifurahisha au ni nini hasa? sidhani kama binadamu mwenye akili timamu unaweza kufurahia ajali moto ni ajali kama zilivyo ajali nyingine it doesnt matter kama ni kiwanja cha machangu or whatever. sasa we Nautia kasi hivi nyumbani kwako ukitokea moto utasema pia ni kiwanja cha machangu na sehemu ya kuambukizana ukimwi? haya na moto uliounguza meli nao tusemeje na ule unaotokea mara kwa mara pale jengo la kitega uchumi nao ni adhabu ya Mungu? mi naona kabla ya mtu kuto comment lazima ujifikirie nini unachotaka kusema na kisimkwaze mtu
Duu nawapapole sn hasa mmilikiwake Bi. Hellen Swai kwani wakati tukio likiwa linaendelea nilibahatika kupita na kumkuta akiwa ktk majonzi makubwa na baadhi ya malafiki zake wakimfaliji akiwemo Bi Asha Balaka,Inasikitisha sn ila km alikuwa kakatia BIMA bac hakuna neno,Poleni sn wapenzi wa machozi band kwani sanyasanya ya j5 ndo kwishnei pale maisha. then nimewaona waosha vinywa km kawaida yao na coment zao achana nao.Keep it up shem.
hutakiwi kufurahia hata kama kilichotokea ni furaha kwako,hao machangu wanakushikia bastola?kila mtu anapenda kuburudika na wengine hatugombwi na imani zetu kama kuna baya linalotokea ni tatizo lamtu binafsi na ukweli sisi wengine tutazidi kujiachia na machozi popote itakapopiga hata iwe uani kwako hapo katika kibanda ulikopanga.
nyie mnofurahia, muangalie na upande mwingine. kuna ndugu zetu pale watakosa kazi maana ndio walikuwa wanapata chochote pale, mnadhani watazisaidia vipi familia zao na watoto wao?! au mnafurahia tu bila kufikiria!! na huyo mmiliki wake hamumfikirii mama wa watu kwa jinsi alivyojiestablish na biashara yake alivyoingia hsara!! nyie vipi nyie!! msiwe wabinafsi kiivyo hata kama ina bima we unadhani itatengemaa lini na hao jamaa watakula wapi!! achana na mmiliki mnaweza kusema ana vitegauchumi vingine, basi hata alinzi nao mnawasahau kwmba walikuwa wanatunza familia kutokana na pale!! ndo maana bongo hatuendelei kwa mtindo hu. acheni hizo jamani. jamani wahanga wa moto poleni, nimesikitika japo sijawahikufika hapo club maisha. poleni.
Hao wanaojifanya watu watakatifu na kuona wengine ni waovu wanazijuaje sehemu hizo? au ndio wametumwa kwenda kuokoa, na kama ndio wasingesema kwa kusherehekea wangetumia busara kidogo. Kwani wanao ende clubs tu ndio wanakufa na ukimwi? ni watu wangapi tunawajua wanakufa na ukimwi na sio waendaji clubs. tafuteni namna nyingine ya kuelimisha jamii kama mna nia kweli kweli na sio kuongea pumba tu humu
Unamchukia mtu mpaka unatamani afe kwa kuungua moto, hiyo si ni dhambi mara mia, maana hata chuki ni dhambi pia . sio kwenda maisha tu ndio dhambi mjiangalie msirekebishe dhambi kwa kutenda dhambi, kama mnaona mtu ana dhambi sana afadhali kumfata na kumuelewesha kuliko kuombea afe kwa kuungua awe kama BBQ
...wajameni hakuna mwenye chuki na kuungua hii club..ni upendo tu kwa vijana wanaoharibika kwenye haya majumba ndio maana tunaomba Mungu ayaharibu kabisa. Hao wafanyakazi wakimwamini Mungu watapata kazi sehemu nzuri zaidi na si kutumika kwenye kazi za Shetani. Maisha ni zaidi ya pesa,ulevi,kujirusha,zinaa. Unaweza pata pesa nzuri sana huku ukimpendeza Mungu na si kwenye baa,clubs,etc. Tuzidi kumwomba Bwana na lady Jide atarudi tu kumtumikia kama hapo mwanzo. AMEN
Helen na Mariam ashante sana kwa comments zenu muko juu. Anony wa November 8, 2009 12:17 PM na November 8, 2009 1:22 PM wote hawana akili kabisa munawezaje kufurahia matatizo ya wenzenu. Ni kwamba nyie maisha yanawajia magumu sana kiasi kwamba hamjui kusocialize na wenzenu. Kaa ukijua ukimwi uko popote hata kama ni makanisani munako sali kwani unaye kutana naye unamjua??? acheni roho mbaya bwana. Jide dont worry mungu atakupa sehemu ingine ukatubuludishe that is not the end of the world. Poleni kwa yaliowakuta ni kazi ya mungu.
Ebwana ni noma hiyo! hasa kwa mshikaji wangu hans aliyezoe kiwanja chake cha nyumbani, ila mpwa uckonde mambo yetu yakikubali bima mambo yataenda sawa tu. aaahaaahaa! ngoma ilikuwa ni mchana fire wakatuyenyesha je ngoma ingekuwa saa tisa usiku alafu w-end watu wako chicha mpwa ingekuwa ni thooooooooo!, poa manka 2po 2gether.
Anony November 10, 2009 12:07 PM Jide ana swali lipi la kijinga?amefikisha habari na imeeleweka kama una chuki nae hapa sio mahali pake please mtafute umwambia heshimu kazi yake ndio muhimu nawakilisha.
si vizuri kufurahia matatizo ya wenzetu, mtu yeyote anaweza kuunguliwa na moto. au wote wanaounguliwa na moto wana dhambi? hiyo ni ajali kama ajali nyingine. alafu si wote wanaoenda kwenye maclub ni machangu,
33 comments:
mmh nawapa pole wahusika jamani tutajirusha wapi sisi, machangu hakuna alieteketea.
Dah!!jamani Maisha Club,inasikitisha sana sasa kulikuwa na watu ndani au?Asante Manka kwa kutuhabarisha.Poleni sana.
do noma! mbona haya mambo moto yanatokea sana dar anyway ihope wan insurance
club saa nane mchana machangu watatoka wapi we nae mbona huna busara
Jamani Maisha Club, duhh, pole kwa mmiliki wake na wafanyakazi, coz kazi ndo kwishnei tena.
habari ya kusikitisha???..ni habari njema sana maana ilikuwa ni kitovu cha uovu,ulevi,uzinzi na uharibifu wa vijana wa Tanzania. Asante Mungu kwa kuendelea kuondoa haya kwenye nchi yetu. Tuzidi kuomba&kutubu ili Mungu aendelee kuisafisha nchi yake Tanzania. Amen
Haleluya, hatimae Mungu kaskie kilio changu, bado Thai Village na billicanas! Huko ni laana tu na kuambukizana UKIMWI! Afadhali ziunguwe zote..who cares! Hiyo kwangu si habari ya kusikitisha ni moja ya habari nzuri yakufurahisha sijapata ona..!
Du imekula kwetu leo
hongera mama
Manka poleni si ndio kiwanja cha jtano,Inasikitisha hata kwa sio tusioweza kuhudhuria.
sad news pole kwa wamiliki. by the way dakika ya 50 sasa naona tunatunishiana misuli 0-0
Mimi niko ughaibuni pia naungana na ndugu zangu hapo juu,Kweli mungu azidi kuonyesha ukakamavu kwakuteketeza hizo nyumba za kila dhambi.Ni watu weengi watakosa uflame wa mbinguni kutokana na hizo nyumba kweli mungu ataendelea kuonyesha kama ni mungu tuu.Na wewe Jaydee uwe macho dada yangu sio unakulupuka tu eti habali yakusikitisha,kwasisi tunaoshinda tunaombea nchi yetu kwamaovu yaliyojili hapo ni habali nzuli,na tunamshukuru mungu kwakuiteketeza yenyewe bila kiumbe kupoteza maisha,ili wasome namba .Amen
Nawapa pole,wafanyakazi na mmiliki wa maisha club.
Hivi we nani cjui Nautiakasi mbona unakuwa ivyo! Hivi hujui ndio tunakaribisha umaskini zaidi hao wafanyakazi wataishije kama sio kuwa ombaomba kwa unavyojiona wewe utamshika mungu mkono! Hakuna mtakatifu anayeishi duniani wote hawapo tunawasoma kwenye biblia na kurani tu.Nani kakwambia UKIMWI unaanzia club?
Mariam
Hivi watu mnatoaga comments ili kujifurahisha au ni nini hasa? sidhani kama binadamu mwenye akili timamu unaweza kufurahia ajali moto ni ajali kama zilivyo ajali nyingine it doesnt matter kama ni kiwanja cha machangu or whatever. sasa we Nautia kasi hivi nyumbani kwako ukitokea moto utasema pia ni kiwanja cha machangu na sehemu ya kuambukizana ukimwi? haya na moto uliounguza meli nao tusemeje na ule unaotokea mara kwa mara pale jengo la kitega uchumi nao ni adhabu ya Mungu? mi naona kabla ya mtu kuto comment lazima ujifikirie nini unachotaka kusema na kisimkwaze mtu
Helen
Duu nawapapole sn hasa mmilikiwake Bi. Hellen Swai kwani wakati tukio likiwa linaendelea nilibahatika kupita na kumkuta akiwa ktk majonzi makubwa na baadhi ya malafiki zake wakimfaliji akiwemo Bi Asha Balaka,Inasikitisha sn ila km alikuwa kakatia BIMA bac hakuna neno,Poleni sn wapenzi wa machozi band kwani sanyasanya ya j5 ndo kwishnei pale maisha. then nimewaona waosha vinywa km kawaida yao na coment zao achana nao.Keep it up shem.
hutakiwi kufurahia hata kama kilichotokea ni furaha kwako,hao machangu wanakushikia bastola?kila mtu anapenda kuburudika na wengine hatugombwi na imani zetu kama kuna baya linalotokea ni tatizo lamtu binafsi na ukweli sisi wengine tutazidi kujiachia na machozi popote itakapopiga hata iwe uani kwako hapo katika kibanda ulikopanga.
mh! hapo ndo imetoka, chanzo kijulikane wapi Bongo?
Lakini haijachomwa kusudi ili kulipwa wabadili style?
Zanzibar kuna club wameiga kabisa mjengo
untouchable
jide naona unahesabia hasara hamna pakupigia mziki....wewe hapo najua hujasikitika eti imeunguwa unasikitika kuwa no extra mshiko in the coming months
nyie mnofurahia, muangalie na upande mwingine. kuna ndugu zetu pale watakosa kazi maana ndio walikuwa wanapata chochote pale, mnadhani watazisaidia vipi familia zao na watoto wao?! au mnafurahia tu bila kufikiria!! na huyo mmiliki wake hamumfikirii mama wa watu kwa jinsi alivyojiestablish na biashara yake alivyoingia hsara!! nyie vipi nyie!! msiwe wabinafsi kiivyo hata kama ina bima we unadhani itatengemaa lini na hao jamaa watakula wapi!! achana na mmiliki mnaweza kusema ana vitegauchumi vingine, basi hata alinzi nao mnawasahau kwmba walikuwa wanatunza familia kutokana na pale!! ndo maana bongo hatuendelei kwa mtindo hu. acheni hizo jamani. jamani wahanga wa moto poleni, nimesikitika japo sijawahikufika hapo club maisha. poleni.
Kama walikuwa na Bima basi watajenga tena.
Hao wanaojifanya watu watakatifu na kuona wengine ni waovu wanazijuaje sehemu hizo? au ndio wametumwa kwenda kuokoa, na kama ndio wasingesema kwa kusherehekea wangetumia busara kidogo. Kwani wanao ende clubs tu ndio wanakufa na ukimwi? ni watu wangapi tunawajua wanakufa na ukimwi na sio waendaji clubs. tafuteni namna nyingine ya kuelimisha jamii kama mna nia kweli kweli na sio kuongea pumba tu humu
bado wewe Jide siku watakapokugeuza BBQ pale Thai Village au Zhonghua maana umezidi kuvaa uchi sipati picha
Anony November 9, 2009 11:14 PM avae uchi asivae mbona hayakuhusu mpe heshima yake ni kazi yake inayomfanya aishi vizuri nawakilisha.
HAWAONI WACHUNGAJI KILA SIKU WANAVYOFUMANIWA? JE HAO WAMEKUWA WAKIISHI CLUB MAISHA?!!!!!!
KILA MTU AJITAYARISHE NAFSI YAKE!!!
Unamchukia mtu mpaka unatamani afe kwa kuungua moto, hiyo si ni dhambi mara mia, maana hata chuki ni dhambi pia . sio kwenda maisha tu ndio dhambi mjiangalie msirekebishe dhambi kwa kutenda dhambi, kama mnaona mtu ana dhambi sana afadhali kumfata na kumuelewesha kuliko kuombea afe kwa kuungua awe kama BBQ
was so stressed but after reading all the coments nimecheka sana, du you guyys are entertainers foe real. HAHAHAAAAAA
...wajameni hakuna mwenye chuki na kuungua hii club..ni upendo tu kwa vijana wanaoharibika kwenye haya majumba ndio maana tunaomba Mungu ayaharibu kabisa. Hao wafanyakazi wakimwamini Mungu watapata kazi sehemu nzuri zaidi na si kutumika kwenye kazi za Shetani. Maisha ni zaidi ya pesa,ulevi,kujirusha,zinaa. Unaweza pata pesa nzuri sana huku ukimpendeza Mungu na si kwenye baa,clubs,etc. Tuzidi kumwomba Bwana na lady Jide atarudi tu kumtumikia kama hapo mwanzo. AMEN
Helen na Mariam ashante sana kwa comments zenu muko juu.
Anony wa November 8, 2009 12:17 PM na November 8, 2009 1:22 PM wote hawana akili kabisa munawezaje kufurahia matatizo ya wenzenu. Ni kwamba nyie maisha yanawajia magumu sana kiasi kwamba hamjui kusocialize na wenzenu. Kaa ukijua ukimwi uko popote hata kama ni makanisani munako sali kwani unaye kutana naye unamjua??? acheni roho mbaya bwana. Jide dont worry mungu atakupa sehemu ingine ukatubuludishe that is not the end of the world. Poleni kwa yaliowakuta ni kazi ya mungu.
Ebwana ni noma hiyo! hasa kwa mshikaji wangu hans aliyezoe kiwanja chake cha nyumbani, ila mpwa uckonde mambo yetu yakikubali bima mambo yataenda sawa tu. aaahaaahaa! ngoma ilikuwa ni mchana fire wakatuyenyesha je ngoma ingekuwa saa tisa usiku alafu w-end watu wako chicha mpwa ingekuwa ni thooooooooo!, poa manka 2po 2gether.
We jay dee mbona unamwaswali ya kijinga ivyo...Kila kitu kimeteketea wanazima moto wa nini? Sasa wewe unataka wauache tu uwake?
Anony November 10, 2009 12:07 PM Jide ana swali lipi la kijinga?amefikisha habari na imeeleweka kama una chuki nae hapa sio mahali pake please mtafute umwambia heshimu kazi yake ndio muhimu nawakilisha.
Anony November 11,2009 1:27 AM
Sure ni kazi nzuri ya Jide kututoa stress na ndo faida ya blog yake. Jide keep it up mama.

Post a Comment