THIS BLOG IS SPONSORED BY

THIS BLOG IS SPONSORED BY

11.12.2009

MACHOZI BAND NA FM ACADEMIA KWENYE JUKWAA MOJA TAR 20 NOV, ZHONG HUA GARDEN

Siku hiyo ni kuvalia na kupendeza kwenda sambamba na wazee wa Ngwasuma, zawadi kwa flowers kama kawaida mlangoni zitatolewa. Msikose

24 comments:

Anonymous said...

Manka nakupenda kweli sina neno la kumaanisha.

Jide said...

Lov u 2

Anonymous said...

Wewe ni mrembo napenda ngozi yako, mavazi pamoja na kazi yako. nasubiri kwa hamu hiyo Nov, 20 nitakuja dar kwa ajili ya hiyo show,nakupenda sana Sister,

Its, Sharifa from Tanga

Anonymous said...

Hi! Sister wewe uko juu sana napenda ulivyo, mavazi na rangi yako ww ni mzuri nakupenda sana Jide.

Its,
sharifa from tanga.

Anonymous said...

Jide kweli wote mutatosha mbona kama patakuwa padogo. Maana Wazee wa Mjini kama unavyojua wako wengi sana. Pili dancing floor hapatatosha labda ubadilisha kwingine pawe pale watu wanapokaa kwenye floor. Just ushauri!

Anonymous said...

Jide haki ya nani kutakuwa hapatoshi mi chichemi wallahi Mungu atujalie afya tele na uzima ili siku hiyo tukaserebuke vizuri

Anonymous said...

ha haa,cant wait...kiukweli jide umenifurahisha sana mana baada ya machozi,ngwasuma inanisuuza so kuwashuhudia namba 1 na 2 pamoja itakuwa utata,hata wifi yako agome cku hiyo ntatoka.....

Anonymous said...

samahani kama sio mahala pake ila dadandu naomba unisaidie kujua mana nakumbuka SINTA alikuwa rafiki yako mkubwa,nachotaka kujua yu wapi?yule dada alikuwa mzuri haswa,nsoto yangu ya kumuoa haijakoma,tafadhali nifahamishe alipo...

JIMY LUV

Kemmy said...

Jide uko juu,patakuwa hapatoshi,natamani ningekuwepo Dar,mi niko Uganda,luv u n wish u all the best.

Anonymous said...

Joniko Maua umo naona (Ukitaka kula ugali na kipofu mega alipomega ukimega kungine basi jua umegundilika).

Anonymous said...

i love manka as well.shes so natural ndio nampendea no mkorogo she is simple anajua kuvaa she is a good wife and friendly, mtafutaji sana sana sana na wala hajali majungu.God bless you

WB said...

Jide hii kali MACHOZI na FM kweli moto utawaka hiyo kesho. Naomba uniweke hiyo zawadi yangu please nitakuja kukuliza.

Anonymous said...

kweli wewe manka ni mbunifu, hongera mama tuombeane uzima mama ili tuweze kujiachia hapo nyumbani zhong hua

Anonymous said...

Ill be there brown sugar no coffeee no tea duuh huku siku hazigandi huku Zombo na matembele,U rock Jideeeeeeeeeeeeee mwah mwah

Anonymous said...

jide amuhitaji mfanyakazi wa ndani wa kiume, mimi najitolea kufanya kazi kwako bure miezi mitatu ya mwanzo, najuwa kupika,kufua kufagia kupiga pasi,deki,yani kutengeneza garden, fundi umeme,bomba kila kitu najuwaaaaa. good day jide

Anonymous said...

dhaa haya bana kajiachieni wandugu mie nangoja picha hahhahahha

Mumy G, Swiss, GNV

Anonymous said...

thanx mwaaaaa
Usiwe kimya hivyo!

Unique said...

Yaani hiyo imetulia kinoma, tunaisubiri hiyo siku kwa hamu ile mbaya, tupe hint ya nguo za kuvaa, tulipuke na rangi gani?

WB said...

JIMY LUV topic ni machozi na ngwasuma sio kutafuta wapenzi je kama anamtu wake Mtafute mwenyewe sorry!!Jide yuko kutuburudisha na sio vinginevyo. Leo ni Leo kivumbi na jasho karibuni wote pole kwa watakao kosa.

Anonymous said...

mmmmmmmmmmmmmh hiyo picha ni tamu sana.

Anonymous said...

HAYA KULA RAHA. SISI WA MBALI TUSHAKOSA HAPO.

disminder.

maida said...

Hi jide,

uko juu sna. always love u

tuombe mungu ijumaa niwe mzima nije kukufaidi shost wangu.

maida,

Jide said...

Machozi na Ngwasuma ni ijumaa ijayo ya tar 20. hapa tumetoa tangazo mapema tu ili muanze kujiandaa mapema nadhani kuna baadhi hawajaelewa vizuri. Andaeni mikwanja ya kujisherehesha na viwalo vya kutatanisha.

Anonymous said...

Tumekuelewa mpenzi wetu