THIS BLOG IS SPONSORED BY

THIS BLOG IS SPONSORED BY

11.04.2009

REST IN PEACE ALEX KUSSAGA


24 comments:

Anonymous said...

RIP Alex Kussaga

Anonymous said...

Bwana alitoa na sasa ametwaa.
Jina lake lihimidiwe.

Pole kwa familia na watanzania wote

Ima (The Designer) said...

Bwana alitoa na bwana ametwaa na kila mwanadam ni lazima atapitia njia hiyo ila cha msingi tumuombee anaye tangulia mbele za haki. Crouds media na wote wanaoguswa na msiba huu tuko pamoja.

KBG said...

Pole sana kwa familia ya Kussaga

SIMON KITURURU said...

R.I.P!

Anonymous said...

Sore kuwa nje ya topic Jide, mpigie debe Elizabeth kawa nominated tena...mpambano mkali this time.

Anonymous said...

yote ni mapenzi ya mungu. mungu hawatie nguvu wote kwa kipindi hk kigumu.

Sab said...

Pole familia ya Kusaga Mungu awatie nguvu kwa wakati huu mgumu wa msiba wa mpendwa baba yetu

Anonymous said...

POLENI SANA WAPENDWA.
MUHIMU MAOMBI KWA MWENZETU ALIYETANGULIA, NASI TUKUMBUKE HUO NDIYO MWISHO WA MWANADAMU, KWA HIYO TUJITAYARISHE KATIKA KILA SEKUNDE YA MAISHA YETU.

ISHI KAMA UNAKUFA SASA, NA ISHI KAMA UNAISHI MILELE!!!!

BWANA ALITOA NA SASA AMETWAA.
JINA LAKE LIHIMIDIWE

disminder.

Unique said...

RIF MR. ALEX KUSSAGA, mwenyezimungu awapunguzie machungu wafiwa.

datty said...

rest in peace

Anonymous said...

poleni kwa msiba jamani wana clouds fm na wadau wote wasekta hiyo.poleni sana mungu awape nguvu wafiwa.

cute smile

Shy-Rose said...

Josefu & family, poleni sana kwa msiba huu mkubwa. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki cha majonzi. RIP Mzee Kusaga. Shy-Rose Bhanji

Anonymous said...

Oh baba yangu! may God almighty rest his soul in aternal piace.
poleni wote jo,maria,Tungi,Sheba and others.

LILFUE said...

inna lilah wain na ilahi rajiun ailaze pema peponi yake roho

LILFUE

GK said...

Pole nyingi kwa familia yake,wafanyakazi wake na wadau wote wa burudani.Jide dada unaendeleaje? umeshamaliza sindano eh? sasa unajisikiaje wangu? luv u

Beatrice Kapinga said...

RIP Alex Kusaga!
Pole sana kwa familia yote ya Kusaga,Andrew,Tungi,Jose na wengine! Tumuombee Mzee apumzike kwa amani.

Anonymous said...

Mbele yeye nyuma sisi safari ya mwisho kwa binadamu yeyote. MUNGU ailaze roho ya marehem mahala pema na awape nguvu familia ya marehemu.

Mariam

Anonymous said...

Huyu Mariam wa ZAIN au?

disminder

Anonymous said...

LILFUE!! tafadhali soma zaid utajua zaidi dini yako.

Anonymous said...

datty? umesoma Tambaza?

wavuti said...

Poleni kwa msiba wafiwa wote.

Anonymous said...

ama kweli kila nafsi lazima itaonja mauti tatizo ni kutangulia
'bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe'

LILFUE said...

Anonymous said...
asante ust