yaani its was so fun jana,n ilikuwa ma first tym kuja machozi nilienjoy sana,czani kama nitakubali jpili kuwa nakosa kiwanja cha flowers wa ukweli-ukweli machozi band na watu wake wapo juu,dar ril..ila mamii kweli Man U wanakelele..
Shem,daaaaa yaani ww acha tu jana timu zote zilijipanga vizuri sn hasa viungo yaani vulikuwa imala timu zote ila ndo hivyo tena, nimependa uzalendo uliokuwepo Thai Village ss huku uswazi ilikuwa full ngumi na kwakweli jana nililala mapemaaaaaa kuepusha shari maana asila nilizokuwa nazo mmmmm we acha tu. Nice Job.
TEH TEH,MANKA chelsea iko juu ila ndo imenipa tatizo kwa boyfriend angu,jana usiku kaja kafura kila ukimuliza ugomvi,leo baada ya kuifungua blog hii ndo nimepata picha nini tatizo ni man u kufungwa.Uchague timu ya kukupa ugonjwa wa moyo mwenyewe mkifungwa balaa ulilete kwa mwenzio,INAHUSU?
Cha kushangaza watu na akili zenu mnashabikia timu za ulaya huyo Drogba hamjui hata mmoja wenu hapo,imefika wakati tushabikie timu zetu kama simba vs yanga. Remember charity begins at home.
WE Anony hapo juu umeniacha hoooi..yaani mmeo kachagua timu kimeo ie Man u? Mwambie aachekuchagua mitimu ya kuleta ugonjwa wa moyo mwambie ajiunge na chama kubwa BWAWAZ ambao leo inamshona mtu kiulaiiiini
Mi nakwambia leo huku mjini kumetulia hata soda tunakunywa kwa taratibu maana ingekuwa ushindi mmh mi chichemi leo huku mjini nadhani tungeomba ruhusa makazini au tungesingizia ugonjwa maana watu wana kelele hawa na bado mwaka huu wao tu katoka liver kukandamiza wazee wa darajani wamepigilia msumari bado young boys wetu(the gunners) wakija wao mzee mzima ferguson atastaafu rasmi ukocha tehe tehe tehe Man u oyeee mko juu mwaka huu
Hongera Jide! Show ilikuwa bomba na mara zote nikiwa dar huwa sikosi thai. Niliwafurahia sana hao mashabiki wa man u walivyokuwa na kelele pamoja na kufungwa kote.
Bongo Hollywood sana now a dayz! si muwe wahalisia zaidiiii. maisha ya cinema too much Jide. Tunahamu ya kuona mkijirusha kiafrica atleast mara moja moja coz hayo mnayo yafanya huko na huku ni zaidi. we want some changes jamani. Pia njaa zinauma mamisosi yako tumeyamiss ile mbaya mdada wewe. waseja tunaponea hapo wadada wanatuona tunakarangizaa kumbe siri ya uermbo Jide
Hata Yanga huwa tunashabikia, uwanjani tunaenda na jezi tunavaa vile vile. sema tu juzi tulifungwa kwahiyo ikabidi tuwe wa pole. sisi ni wazalendo sana tu
Mummy G sio uongo bongo imekuwa babkubwa ile mbaya. Yani Jide anatupa raha za ukweli wish ungemuona live show yake siwezi simulia kwanza hao watu wanaokuwepo utapenda pili co. unayoikuta hata kama ni mgeni utafurahi kupindukia. Stress zote za week nzima kazini, familia au kuchakalika zinakwisha. Dont miss when you come in Bongo - WB
WB sikosi wangu lazima nitie team na kwenye pic mtaniona, sieti mama Gadna?Manka mwenyewe? yaani nahisi na miss vitu lazima nitie team nikija pumzisha stress za kubeba mabox hahahhah Mumy G, Swiss Gnv
Basi wamefurahiiiiiya, teh teh teh, ushindi raha sana, kazi ipo kwenye kuushinda. Siye Looserpool mwaka huu sijui alotuloga nani walahi natamani ingekuwa shule hivi tunamwambia mwalimu nnaumwa siwezi kuja shule leo... msimu huu sijui kama tutatoboa.
Anony November 10, 2009 7:58 AM Ashante kwa kumpa vipande vyake huyo mjinga. Watu wengine bwana why don't they mind there own business acheni wivu jamani its her life. Kama yeye ni sister duu wewe ni nani??
Huu ndio ukoloni mambo leo. Tutafute timu zetu au michezo yetu na tuishabikie (kama Wamarekani walivyo na American football na baseball). Nina rafiki yangu mwingereza nimemwonyesha hizi picha, kashangaa sana jinsi watu wanavyoshabikia timu za mbali!!!! Akaniuliza "huko kwenu huwa hamchezi mpira nini?" Nikamwambia "tunacheza", then akauliza "kwa nini msishabikie timu za kwenu?'
Nikasema "tunashabikia lakini hazichezi mpira mzuri". Nikaulizwa tena "Zitafanikiwaje kama hamzisapoti kwa 100%?". Nika-SMILE tu.
hahahaha! anony wa juu hapo wewe ndie ulieshindwa kujijitea kwani ulishindwa kumuambia kuwa siku hiyo ilikuwa inacheza chelsea na sio yanga! kila timu ina siku yake ya kushangili bwana! mbona hata Taifa stars tunaishangilia vile vile na YANG PIA ungemuonesha picha za mechi za bongo aone tunavyoshangila bwana ,CHEZEA SISI!jide. t shirt zetu zimeingia mitini nini?
36 comments:
Hongera Jide na wana chelsea wote, watch out for the gunning kids, tunakuja taratiiiibu bila kelele kwa soka la burudani! come on gunners!
maliha nakuona mbona umebadilika sana au ndo mambo ya kimimba?
mate wako IFM
I love your haid do Jide!!
disminder
Hiyo T-shirt maneno yake poaaaa
Nimeipenda show yote inaonyesha ilikuwa full SHANGWE
Jide MAROGOOOOOOOOOOOOOOOO
WATASHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
disminder
yaani its was so fun jana,n ilikuwa ma first tym kuja machozi nilienjoy sana,czani kama nitakubali jpili kuwa nakosa kiwanja cha flowers wa ukweli-ukweli machozi band na watu wake wapo juu,dar ril..ila mamii kweli Man U wanakelele..
Shem,daaaaa yaani ww acha tu jana timu zote zilijipanga vizuri sn hasa viungo yaani vulikuwa imala timu zote ila ndo hivyo tena, nimependa uzalendo uliokuwepo Thai Village ss huku uswazi ilikuwa full ngumi na kwakweli jana nililala mapemaaaaaa kuepusha shari maana asila nilizokuwa nazo mmmmm we acha tu. Nice Job.
Was that warning for MAN U?
ha ha ha just kdn'
TEH TEH,MANKA chelsea iko juu ila ndo imenipa tatizo kwa boyfriend angu,jana usiku kaja kafura kila ukimuliza ugomvi,leo baada ya kuifungua blog hii ndo nimepata picha nini tatizo ni man u kufungwa.Uchague timu ya kukupa ugonjwa wa moyo mwenyewe mkifungwa balaa ulilete kwa mwenzio,INAHUSU?
Ilikuwa nihamie man city basi ntabaki chelsea mana naona moto wake mkali na uzuri naweza pata mme naona mashabiki wake maHB haswaaa....JIDE keep it up
Hi Jide,nimependa ulivyovaa,umependeza,hongera kwa ushindi jana ila mi ni man.u,nimesikitika ila ndio mpira.
Sema ndio ivyo fair play ila mimi binafsi nimeumia na kipigo.
Mariam
man u tupa chini ndo mambo ya new season ndo warning iyooo
Manka hakuna anayekuweza!!
Halafu Jide nilikua sijaona hiyo staili yako ya nywele, imenishika kinoma!
Cha kushangaza watu na akili zenu mnashabikia timu za ulaya huyo Drogba hamjui hata mmoja wenu hapo,imefika wakati tushabikie timu zetu kama simba vs yanga.
Remember charity begins at home.
Nimependa sana hair do yako loh.luking mwaaaaaaaaaaaa
lol1 afadhali sana,yanga tulifungwa hata chelsea1 hongera jide!
WE Anony hapo juu umeniacha hoooi..yaani mmeo kachagua timu kimeo ie Man u? Mwambie aachekuchagua mitimu ya kuleta ugonjwa wa moyo mwambie ajiunge na chama kubwa BWAWAZ ambao leo inamshona mtu kiulaiiiini
Mi nakwambia leo huku mjini kumetulia hata soda tunakunywa kwa taratibu maana ingekuwa ushindi mmh mi chichemi leo huku mjini nadhani tungeomba ruhusa makazini au tungesingizia ugonjwa maana watu wana kelele hawa na bado mwaka huu wao tu katoka liver kukandamiza wazee wa darajani wamepigilia msumari bado young boys wetu(the gunners) wakija wao mzee mzima ferguson atastaafu rasmi ukocha tehe tehe tehe Man u oyeee mko juu mwaka huu
Sasa Judy!
baby brother ni the bluess. kaka Tumaini Mbibo na wifi Amina wao tuga gani???????
That was good show at machozi banddd
mmh Jide mama umependeza sana,
hiyo T-shirt nimeipenda,
yaan kwakweli Dar mnajua kufurahia maisha mbarikiwe sana
Mumy G, Swiss Gnv
NAKUONA JIDE UKO NA DAD T..WA UKWELIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Hongera Jide! Show ilikuwa bomba na mara zote nikiwa dar huwa sikosi thai. Niliwafurahia sana hao mashabiki wa man u walivyokuwa na kelele pamoja na kufungwa kote.
Bongo Hollywood sana now a dayz! si muwe wahalisia zaidiiii. maisha ya cinema too much Jide. Tunahamu ya kuona mkijirusha kiafrica atleast mara moja moja coz hayo mnayo yafanya huko na huku ni zaidi. we want some changes jamani.
Pia njaa zinauma mamisosi yako tumeyamiss ile mbaya mdada wewe. waseja tunaponea hapo wadada wanatuona tunakarangizaa kumbe siri ya uermbo Jide
Hata Yanga huwa tunashabikia, uwanjani tunaenda na jezi tunavaa vile vile. sema tu juzi tulifungwa kwahiyo ikabidi tuwe wa pole. sisi ni wazalendo sana tu
Mummy G sio uongo bongo imekuwa babkubwa ile mbaya. Yani Jide anatupa raha za ukweli wish ungemuona live show yake siwezi simulia kwanza hao watu wanaokuwepo utapenda pili co. unayoikuta hata kama ni mgeni utafurahi kupindukia. Stress zote za week nzima kazini, familia au kuchakalika zinakwisha. Dont miss when you come in Bongo - WB
UMEVAA KAMA MWANAMUZIKI WA HIP HOP HUJAPENDEZA HATA KIDOGO WEWE NI SISTA DUU TU HATA UKIJIFANYA MGUMU, HAILIPI KABISA.
Anony November 10, 2009 7:29 AM unamatatizo ya akili heshimu kazi yake. Nawakilisha
WB sikosi wangu lazima nitie team na kwenye pic mtaniona, sieti mama Gadna?Manka mwenyewe?
yaani nahisi na miss vitu lazima nitie team nikija pumzisha stress za kubeba mabox hahahhah
Mumy G, Swiss Gnv
Basi wamefurahiiiiiya, teh teh teh, ushindi raha sana, kazi ipo kwenye kuushinda. Siye Looserpool mwaka huu sijui alotuloga nani walahi natamani ingekuwa shule hivi tunamwambia mwalimu nnaumwa siwezi kuja shule leo... msimu huu sijui kama tutatoboa.
Ki ukweli Hiyo hair style ilinishika mama, yaani ulipendeza hasa, keep it up
Anony November 10, 2009 7:58 AM Ashante kwa kumpa vipande vyake huyo mjinga. Watu wengine bwana why don't they mind there own business acheni wivu jamani its her life. Kama yeye ni sister duu wewe ni nani??
Kemmy usisikitike sana kufungwa ni part ya mchezo c unajua tena man u rocks!
Huu ndio ukoloni mambo leo. Tutafute timu zetu au michezo yetu na tuishabikie (kama Wamarekani walivyo na American football na baseball). Nina rafiki yangu mwingereza nimemwonyesha hizi picha, kashangaa sana jinsi watu wanavyoshabikia timu za mbali!!!! Akaniuliza "huko kwenu huwa hamchezi mpira nini?" Nikamwambia "tunacheza", then akauliza "kwa nini msishabikie timu za kwenu?'
Nikasema "tunashabikia lakini hazichezi mpira mzuri". Nikaulizwa tena "Zitafanikiwaje kama hamzisapoti kwa 100%?". Nika-SMILE tu.
hahahaha! anony wa juu hapo wewe ndie ulieshindwa kujijitea kwani ulishindwa kumuambia kuwa siku hiyo ilikuwa inacheza chelsea na sio yanga! kila timu ina siku yake ya kushangili bwana! mbona hata Taifa stars tunaishangilia vile vile na YANG PIA ungemuonesha picha za mechi za bongo aone tunavyoshangila bwana ,CHEZEA SISI!jide. t shirt zetu zimeingia mitini nini?
manka i need that jersey ya chelsea pls nielekeze ulipopata.my num ni 0715381036.
Post a Comment