Wanatakiwa wapiga vyombo wenye vipaji kwaajili ya shughuli za kupiga nyimbo studioKuwapigia wasanii mbali mbali live instruments wakati wanarekodi nyimbo zao
Pia kwa ajili ya Band mpya inayo anzishwa ya muzikiwa kizazi kipya
Kwa maelezo zaidi niandikie e mail au nipigie simu.
Nafasi zilizopo ni mpiga guitar la SOLO NA RYTHM NA Mpiga DRUMS
4 comments:
wewe jd kiswahili chako kiko vipi? hicho kichwa cha habari hakijakaa sawa hapo hebu rekebisha, unafikiri unatunga nyimbo hapa
mh watu wengine bwana!!!!
LAKINI SI UMEELEWA? We mbona kiswahili ulipata FFFFFFFFF
just kdn'
Tumesikia dada!
kina sisi wapiga vyombo tutawasiliana na wewe!!
disminder
Anony November 5, 2009 11:52 PM Ulitaka jide afikisheje ujumbe,Kila mtu anao upeo wa kufikiri na kila mtu anahitaji kuheshimiwa katika kazi yake,nawakilisha.
Post a Comment