skip to main |
skip to sidebar
Nilipata ajali ndogo muda mfupi kabla ya sanya sanya, nilikuwa naelekea hospital kupata sindano ili niwahi kurudi kazini, ndipo yaliponikuta haya. Ila niligongwa sikugonga
Mbali na ajali nilifanikiwa kukutana na mtoa maoni maarufu wa blog hii, PM.. Bado kumuona Sab na JO
Nilipendezwa na muonekano wa vazi la flower hili
58 comments:
Pole kwa ajali JayDee.
Jaaaaamaaaaaaaniiiiiiiiiii,, pole mwaya. Pole sana my dear!!
PM sasa mbona waja kimya kimya?? Karibu nchini mwaya, hapo ndo THAI kiwanja cha ma flower wa jiji!!!!
Pm nimefurahi ata mimi kukuona soon na mimi mtaniona jamani.
Hi Jide,
Pole sana mamy!! Mitihani tu.
HATA MIMI NIMEPENDA HUO MTOKO WA FAN MWENZETU.
CONGRATS DADA UNAWAKILISHAAAAAAA
MAROGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
WATASHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Disminder
Brothe PM, karibu sana, uko juuuuuuuuuuu.
Pole na Ajali da Manka, yaani ukimaliza siku uko salama Dar unamshukuru Mungu.
Pole sana Mrs. G tumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kukunusuru. Stay blessed.
jamani pole mpz wangu kwa ajali mungu bado yupo nawe.
cute smile
PM hahaahahahahahahah duuuu umeshine wangu uko juuuuuuu na manka hatimaye tumekuona jamani mkaka wetu hahahah happy.
cute smile.
Pole na ajali. Hope everything went okay baada ya tukio....
Sindano ya nini tena,unaumwa?
Pole mama Habash,yote maisha....everything happens for a reason.
Tupo pamoja.
haaaaa nimeipenda hiyo maneno kwa kweli
yes haters sre suppose to be loved wamezidi haters but thw more they hate the more mafanikio yanazidi
woooow its gud gud
safi sanaaaaa
imependezaaa
beautiful wowww
haters ndio dawa yao,wamezidi
i like it sana sana napenda top za hivyo ntazipata wapi???
unaumwa nini mpenzi mpaka uchome sindano? pole sana.Nakutakia kupona haraka. luv u
Jamani pole sana my dear, ila lakumshukuru m/mungu ni wewe kuwa salama, gari sio tatizo sana cos utapeleka tu garage na wataifanyia marekebisho na maisha yataendelea km kawa.
pole jide kwa ajali, thank you god kama haujaumia, name nimefurahi kumuona PM, but ningependa kumuona live pamoja na wakereketwa wote wa machozi pamoja na blog yetu hii, like cute, ester,maggie and many more, am dying to see you face to face babies!!!
Naumwa Malaria
Asanteni wote mlionipa pole. Nawapenda ki ukweli
Pole kwa ajali Manka
haters kimewagusa, sasa wanajielezea kupita maelezo kwenye post ya chini huko. Jide kula nao sahani moja hawakulishi hawakuvishi na wasikubabaishe pia, kwa lipi haswa? baada ya hiyo nunua vogue basi
Du kumbe Jide ulipata ajali na hata hukuniambia, pole sana mpendwa. Nilifurahi kuonana na kupeana mkono na wewe.
Maggie, Cute smile na sab huyo ndo mimi wajameni, maana kuna wengine walishadai kuwa PM ni Pamela sijui nani, aha haaaa! Poleni sikuwajulisha ujio wangu na kwa bahati mbaya hapa natoa comment niko airport naondoka tena ila ntakuwepo machozi wiki si nyingi, ilinibamba sana machozi jana, si mchezo iko juuuuuuuuuuuu! love u all
pole jide nilikuwa dar summer hii kwa kweli wala sishangai jide kugongwa watu dar wanaendesha gari ovyo sana kila mtu anaharaka yeye zaidi wakiona mwendeshaji gari mwanamke mama na baba wote wameshagongwa na pia road dar ni ndongo sana serekali inabidi ifanye kazi hapo.
mdau uk
Maggie, ebwana eeh, nilikubali, flowers hadi nikashindwa kujua lipi roseflower na lipi lily flower, aha haaa, next time nikija nitakujulisha exact date ili tumeet tuchape story huku tukiserebuka
Sab umebaki wewe, ebu njoo watu tukuone bwana
Esther Ulaya, Thanks my dear. hope to see you soon nikirudi tena, maana jana niliitafuta Thai village masaa mawili, si unajua tena ugeni wa jiji, nilipita kila kona hadi nikaelekezwa na dreva taxi, kufika na Jide ndo anamalizia nyimbo 2 za mwisho, but it was a great night!
Cute smile, i was hoping ungekuwepo na hata kama ulikuwepo sidhani ningekujua, maana flowers woooote walikua wanafanana, aha haaaaa! kwa urefu nilionao, ilibidi nibend kidogo kiaina ili tuwe sawa kdg na Jide. Hivi Jide hii ndo ile photo iliyopigwa na MwanaFA a.k.a Michuzi, ahaaaa!
Shushu hot, we andaa tu nikiwepo bongo tutameet kwa party ya ukweli, tule bata mzinga kiukweli na mpenzi wetu jide.
Pole Jide,utapona 2,pia pole kwa ajali..
POLE SANA KIPENZI CHETU JIDE,MUNGU ATALETA KHERI YAKE UTAPONA KABISA MALARIA BONGO YETU HII KITU CHA KAWAIDA.POLE PIA NA AJALI NDO DRIVING LZM U-EXPECT CHOCHOTE
SWALI NNALOJIULIZA , NIMEONA COMMENTS ZA WATU KADHAA HAPO WANAOSEMA GUDGUD, WENGINE NIMEIPENDA HII N.K WANA MAANA GANI? INA MAANA WAMEFURAHIA JIDE KUPATA AJALI?
NINAVYOFAHAMU MIMI KWA SISI BINADAMU HATA KAMA UNACHUKI NA MTU AKIPATWAGWA NA MATATIZO, MENGINE YOTE TUNAWEKA KANDO KWANZA.
NIMEWASHANGAA SANA DUUH!!!!1
pole kwa kuumwa na ajali ila dada unajituma yani mgonjwa ila still ukaenda kazini.tunakupenda zaidi
Malaria nikitu gani? sema hata kama ulikua umeenda kuzuwia mbimba bwana!
Pole manka drogber and get well soon. PM are u single? hahahaaaaa
Flowers matata?
PM UNATAKIWA SASA UKIJA UKAE KWA MUDA ILI UPATE KUTEMBEA KILA KONA YA MACHOZI BAND!!!
UTACHANGANYIKIWA DAR SIKU HIZI NI
MAROGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
WATASHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Jide kusema kweli sie hiyo picha na huyo PM hatujamfaidi vizuri, tupe close up. manake una nadi ma flowers tu humu kwa sana na sie wengine tunatafuta wachumba
PM uko mpaka lini?? kuna party ya wadau wangu wa blog naiandaa nyumbani kwangu, ningependa sana na wewe uwepo.
Pole sana.. Ndio maisha Dada yetu. Mungu Akubariki sana
Pole mama..hiyo party na me nisikose, me bonge la fan wako sema tu nakuwaga ANON...
Kismet
Pole lady jay dee,hope you will get well soon
JIDE UNAPENDEZA KWELI KWA KILA KIWALO HIYO NI KWELI MAANA UNASHAPE FULANI HIVI YA KUPENDEZA KILA KITU TATIZO LINAKUJA KATIKA KUCHANGANYA RANGIHAPO BWANA HUWA UNA CHANGANYA KIDOGO
Jide mpendwa, hapa mida hii niko Doha nangoja connection but will be back in 4weeks time. unaandaa lini hiyo party maana kuikosa itakuwa kosa la jinai kwangu!
Anon wa 3.48 unataka kuleta posa kwa dingi nini, aha haaa!
Anon wa 5.10, unataka close look? nadhani Jide anayo atakutumia ukimwomba, aha haaa! unajua wapiga picha walishachoka mida ile wakawa wanapiga tu ilmradi, usijali utapata close pose next time nikija
Anony November 2, 2009 3:24 AM una maana gani kusema hivyo?Muacheni Jide aishi maisha anayoyapenda umeelewa.
Manka usije kunisahau mi nilietoa ahadi kwenye Party.
Watu weweeeeee hapo sasa usijali PM soon ntatokeza mana tunaandaliwa party basi hapo shughuli kila mtu lazima awew kwenye blog na ajitoe jina lake loh kazi kweli kweli.nimefurahi sana kukuona PM asante.
ple sana jide nimekubali kweli we binti komando!ila kuna ki2 kimenichekesha sana jide hahahahahahahahhahahha yani ulivyosema unataka kuandaa party ya wadau wa blog hii kila mmoja ameanza kujitaja ye nanh, anonymous hakuna tena dah nimeipenda hiyo wabongo ni nomar.upo juu fans wa ukweli
PM umekuwa kama Rocket,mara hii upo huko, hahahaha huyo anony siku akiwa analeta mahari kwa mdingi wako lazima wapambe tukiongozwa na sauti nyororo ya Manka isindikize msafara, tehe tehe tehe, kila la heri uliko.
Cute na Maggie, weekend hii tupo wote, nimewakumbuka jamani
Kunywa maji mengi Jide ili dawa na sindano zifanye kazi, utapona soon, pole
pole shem ndo mambo ya barabarani hayo, thank's to god u make it.
Pole sana Jide kwa kuumwa i h umeshapata nafuu mungu yuko na wewe mamie.
Mimi naendelea vizuri wapendwa wangu wala msihofu, sindano ya mwisho ni leo saa moja usiku. baada ya hapo na imani mambo yote yatakuwa sawasawa
@Esther ulaya, umenichekesha sana, muhimu hiyo, huyo mrembo akiwa tayari kuleta mahari itabidi Jide aje atoe kampani la nguvu kama kawaida yake.
@Jide, najua mida hii utakua umeshapata sindano ya mwisho na unaendelea vyema. GET WELL SOON DEAR!
msiache kuongeaaaaaah ongeeni mnavyoweza kila mnapoongeaaaah sifa zinaongezeka...... jide na mwana fa
DEDICATION WA WACHONGA NA MAHATER WOTEEEE
Pole sana jide kwa kuugua malaria, mungu atakunusuru pia kama alivyokunusuru kwenye ajali, PM naisubiri kwa hamu hiyo siku, jide hiyo party ya home kwako usitusahau maana fans wako tuko wengi!!! luv u all.
Sugar Dodoma, hao commenters waliotoa comments zao like gudgud, nimeipenda hii, walikuwa wakimaanisha hiyo top yenye maneno ya kuponda haters, sio kumponda jide kwa kupata ajali. Pole kama nakuona ulivyoshangaa!!!
Post a Comment