Nimepewa vitu vingi sana vingine sikuweza kupiga picha ila nikifika home, nitapiga picha ndani before na after ndani patakavyo kuwa pimped na Home shoping center.
Kuanzia Mashuka, Carpets, Towels N.K.. Vuteni subira
Ila vya kusimuliwa havinogi, bora muende mkajinunulie tu na nyinyi
36 comments:
Jide rangi za kupoa hapana, zinawafaa wanaume tena wlioko single, nyumba yenye mwanamke shurti iwake bibi, crazy colors ndio zenye
Manka nakupenda na kazi yako chagua kila kitu roho yako inapenda na ubarikiwe.
Ni kweli ipende nyumba yako.Hata kama nyumba au chumba cha kupanga,unapoishi ni pako kwa wakati huo. Ukipapendezesha (ndani na nje) kwa mpangilio mzuri na kupamba sio tu panakuongezea ufanisi kwa kujua kila kitu kilipo bali pia panakupunguzia stress.Go girl ipende nyumba yako.
Du! hawa jamaa basi ni noma, kama wameweza kupimp nyumba ya Jide basi wanatisha, hongera bibie!
jide you know i love your music but i dont like that hair unaonekana umezeeka when you are stil young and kicking.
love bigfan
BAD HAIR STYLE YOU LOOK LIKE OPRAH WINFREY, SHIT!
kumbe JIDE huna wowowo? Maamamaaaaaaa!
Just wondering umepewa zawadi kwa kigezo gani? Be more clear cause ur somebody's wife!!
Jide umenipa mwamko wa kuwatembelea hawa jamaa nimependa hizo carpet hapo nadhani zinanifaa na mimi ...nangojea kwa hamu kuona nyumba yako utakavyoipamba...I love you Dear
Hapo ua ndio nakupendaga naisi kama kuna nyumba ambayo naifurahiaga kwa kuiona tu kwenye picha ni yako.natamani nije kabisaaaaaa niione loh sasa tunasubiri kwa hamu kuona rangi mpya na muone kano mpya wa nyumba yako Manka
Aisee kweli home shopping centre ni noma,, remba mwaya then utupe mambo sie,, we learn through pipo like you!!!!
Jide tako Mungu kakunyima! sauti tu labda.
bei zao zipoje jide!ucniambie nitembelee uko cpo bongo bt nataka nimnunulie my mum zawadi!umependeza sana simple bt sure.fans wa ukweli
Safi sana, umenikumbusha msemo wa wazungu usemao SMARTNESS IS AN ART BEAUTY IS GOD GIVEN, BE SMART ALWAYS, ndivyo ulivyo Manka, na wengine twaiga pia na kujifunza.
items za Home shopping Centre vyaonekana bomba,tupe na bei ukamilishe promo yako bibie
Yeah hata mm jana nilikuwa pale na fanya shoping ya ku pimp my apartment, Home shoping centre wako juu machozi band mpo juu mashabiki wake wako juu na ss humu globuni tuko juuuuuuuu zaidi.
Si mchezo na Home Shopping Center,
Next time tutakuita The look uje upate zawad,
we subiri mwaliko mama
Mwanamke wa ukweli huyo,hongera dada.luv u
Mwanamke wa ukweli huyo,hongera dada.luv u
hivi mtu hana matako anakalia nini kichwa? makubwa
Sasa jide am sorry kwa hili but am serious, kwa vile umeamua kubadilisha rangi ya keapeti basi naomba hilo utalotoa ulinipe plz. Nakumbuka ulipewa zawadi tena kipindi kile cha sabasaba. So plzs listen n act 2 me request.Au utalitoa uliweke jikoni?no, au barazan.?
anoy 10.15 kama unaona jide kanyimwa tako basi nyoga ipo tako kitugani hata wachina wanatengeneza hajaamua kwenda kununua ila nyoga ipo hiyo ndio ngumu kununuliwa upooooooo na roho mbaya yako wewe unaangalia matako tuu mengine ya maana huangalii wewe akili zako zipo kwenye nyayooo mwangaa mkubwa.
cute smile
Ashante cute smile kwa kumpasha huyo mjinga anayeangalia yasiomuhusu. Jide please naomba kujua bei ya hayo mashuka. Pia ningependa kujua kama ni ya duve cover. Hongera kwa zawadi but you deserve it my dear and everybody appreciates it. - WB
wewe cute smile kwani ndio msemaji mkuu wa JIDE au ndio unakuza mambo yawe makubwa humu?
tumeshamwambia JIDE aachane kujibishana na waosha vinywa sasa wewe ya nini malumbano humu jamani?
maana mtu akitapika humu hakuna wa kumsikiliza hatiwi chumvi wala ndimu anaachwa ananuka shombo.
ni hayo tu.
mdauziiiiii
Kusema kweli mimi sijui bei ya hivyo vitu kwakuwa vyote nimepewa bure, ila labda nikaulize tena halafu nirudi kuwafahamisheni
Tutasubiri utupe majibu
Wako juu sana. Hata mimi hununua mapazia na vitu vidogovido hapo.
Jide am sure ua house inavutaaaaaa
Nimeipenda.
disminder.
Huyo Cute Smile mwenyewe anaubao nyuma so lazima amtetee Jide, ukwel unauma eeh! ni kukubali 2 c'se hata ukinuna bado hunaaa! hahhaha. ni sawa na kumuita Masudi Handsome boy Thanks "Mdauuuuz" kwa kunifagilia.
MMMMH? TUJULISHE MAPEMA KWA HIYO PARTY NA WENGINE TUPATE KUJA HUKO BONGO DARESALAMAAAA
Jide please tunaomba fasta bei ya hivyo vitu especially macarpet
Halafu umependeza hapo ulipokuwa unafanya shoping,
mi nina kiu ya kuona jinsi nyumba yako itakavyotoka chicha na bidhaa za home shopping centre
Have a nice time
Helen
hI Jide bei ya mashuka please!
kwani Jide kawa Sales Officer, kwanini msiende wenyewe! duh wabongo kwa mteremko!!
Hi jd I love you dada god bless you always.. Kazi yako nzuri mungu akupe maisha marefu we na mumeo..
wewe umegeiwa sisi tukanunuwe cant be
MMMMMMHHHH.
maneno ya mmoja wetu kweli.
SASA HIVI NAONA MAJINA MENGI.
Jide ebu fanya hiyo party tupate kuwajua na sura zao.
rangi hizo hapo hizo ndizo nizipendazo kwa kwa eneo la sakafu.
Post a Comment