Monday, December 14, 2009

KWENYE HARUSI YA MANGE NA LANCE

Nadhani picha nyingi mtakuwa mmeziona kwenye blog yake u-turn na kwa Zeze 8020

(Rafiki yangu wa utotoni) Rose Siame na Me

Machozi Band walitumbuiza

12 comments:

Anonymous said...

Manka uliwakilisha vizuri

Kemmy said...

U luk gd Jide,pia nawapa hongera Mange na Lance kwa kufunga ndoa nawatakia maisha mema.

Anonymous said...

jamani jd ulipendeza sana ila mpenzi huna straples bra jamani umeharibu hadhi ya hiyo nguo unaonekana kma unaenda mazoezi pls jaribu kuwa unaweka kitandani kitandani nguo zako zote unazo vaa alafu unajaribu kuziagalia kma ni sawa kwazia under wear pls nadhani hiyo itakusaidia ni ushauri tu mpenzi we Love u so much hatupendi tukuone umekua kituko.

Anonymous said...

Jide nimependa sana hiyo picha na rafiki yako wa utotoni, umependeza sana, hiyo style yako ya nywele umeonekana cute kupita maelezo nadhan na nguo uliyovaa inaendana na rangi yako, pia make up imetulia usoni- JIBE

Anonymous said...

You look great Manka.Hongera sana wanaharusi Mungu awatangulie ktk maisha ya ndoa.

Anonymous said...

harusi hii ilikuwa classic mambo ya kithungu thungu

Rhoder said...

Mhh hongera Mange nadhani mpaka shughuli zot zimekwisha sasa ni zaidi ya M100...Pia hongera Jide kwa kupendeza

Anonymous said...

JIDE ACHA KUNYWA SAFARI SURA YAKO INAZEEKA...USHAURI TU

Christine said...

hongera jamani, Mungu awatangulie kwa kila mtakachofanya na awajalie maisha mema ya kupendeza. conglats

GK said...

Hongera nyingi kwa maharusi, Machozi band mpo juuuuuuuuuuuuuuu
Nawapenda sana
GK

Sab said...

JIDE ACHA KUNYWA SAFARI SURA YAKO INAZEEKA...USHAURI TU

December 14, 2009 7:58 PM

ABONYMOUS TAFADHALI
MSHAURI JIDE ATUNGE NYIMBO NYINGI ZAIDI NA AJENGE NYUMBA NYINGINE NA KUNUNUA GARI LINGINE LAKINI UWEZI MSHAURI MTU AACHE KUNYWA SAFARI WAKATI NDIO KINYWAJI CHAKE.ILA NA MANKA ANAWAKOMESHAGA ATA KAMA ANYWI ANAHAKIKISHA AMEPIGA PICHA NA CHUPA YA SAFARI ILI MZUNGUMZE IVI KWA NINI USIMPE MTU UHURU WA NAFSI YAKE LAKINI KWANI SAFARI ZILITENGENEZWA KWA AJILI YA WATU GANI.KILA POMBE INAZEESHA NA WALA SIO SAFARI TU.

maida said...

kila kitu kiko juu, harusi nzuri sna. mungu awabariki ktk ndoa yenu iwe tamu milele.

jide umewakilisha kama kawa uko bomba na machozi band mko juuuuuuuuuu.

maida