Friday, February 26, 2010

ALHAMISI...SAVANNAH LOUNGE, YALIOJIRI

Brand New Flower, Sabina

Pina Colada, ni cocktail ambayo inatengenezwa kwa Pineapple Juice, Rum, Coconut Cream na Barafu...matokeo hua ni utamu tuuuuu mpaka mwisho

Captain na friends

Maua

Maua zaidi

Mdau mpya na Manka

FA na Washkaji

Swaga za Walter (full mzuka)


12 comments:

Anonymous said...

Jide huyo kaka picha ya 7 kutoka juu, fanya mpango nahitaji mtu mzima kiasi wa makamo. serengeti boys pasua kichwa

Anonymous said...

dada wa kwanza...daaaaaamn!

Anonymous said...

hilo flower jipya hapo juu kbs c mchezo,upya unaonekana

Anonymous said...

Sabina mapisto weee mashalah umejaaliwa bibiye

Anonymous said...

Hahaha, Naona Jide upo Juu Umemdaka Mpaka Engineer Michael Mpeka? aka mdau mpya. Mpe salamu sana mwambie Kazime Boy mwenzake na FOE member. Mdau UK

Anonymous said...

jamani bahati missing u mzim nakuona mwenyewe hujaacha laga,

Anonymous said...

Duh...jamani SABINA...kazi ipo

Anonymous said...

Jide, mie nimempenda sana Sabina jamani, naomba contact zake mdau

Anonymous said...

Jide..

Hilo Maua jipya si mchezo...je lipo single au tayari lina mtu,mwambie tuwasiliane kwa kizibe@yahoo.com

Ester Ulaya said...

hahahahah Sabina mpenzi, wachumba haooooooooo

Anonymous said...

Eheeee jamani huyo Sabina muoneni hivyo hivyo pichani! Hivi umeshaona wale wadada wanaochorwa pichani kwa mfano kwenye gazeti la sani basi Sabina ndio design hizo. Ana shape balaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kabhaaaa wacha kabisa hiyo maneno. Alafu simple hana makuu ni mtoto mtulivu kwa kweli!!

Anitha said...

mmmh Jide naona wivu huyo kaka aitwaye Michael Mpeka ni mtamu kweli, naomba uniachie mimi..