Tuesday, June 29, 2010
HATUTAKUWEPO SAVANNAH ALHAMISI YA TAR 1 JULY
MACHOZI BAND INAOMBA RADHI WAPENZI NA MASHABKI WOTE KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA..........
TUNAWAARIFU KUWA ALHAMISI HII YA TAR 1 JULY HATUTAKUWEPO SAVANNAH LOUNGE MJINI KAMA KAWAIDA..
TUMEPATA KAZI YA NJE (AMBAYO HUTOKEA MARA MOJA TU KILA MWAKA) HIVYO SIO NAFASI YA KUIKOSA KWETU KUSHIRIKI.
TUNAWAPENDA NA TUNAOMBA USHIRIKIANO WENU KWA SIKU ZIJAZO.
IJUMAA TUTAKUWEPO MZALENDO PUB, TUENDELEE KUHESABU NAMBA KWA PAMOJA MPAKA KUJUA MWISHO WA MWAKA ITAKAPOGONGA TAR 31 DEC TUTAKUWA TUMEFIKISHA NAMBA NGAPI??
IJUMAA HII NAWAOMBENI MCHAGUE BAADHI YA NYIMBO AMBAZO MNGEPEND KUZISIKIA TOKA KWETU ILI ZIPIGWE.
KAMA BAADHI ZITAKUWA ZIMESHINDIKANA KUPIGWA WIKI HII TUTAPIGA WIKI IJAYO....................
WATU WENGI SANA WANAPATA WENZA KWENYE MTOKO WA MACHOZI HIVYO KUIFANYA SLOGAN YETU KUWA
"MACHOZI BAND MAKING THE CONNECTION"
JUMAPILI THAI VILLAGE KAMA KAWA.....COME ONE, COME ALL.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
6 comments:
DADANGU JAYDEE,HII RANGI NYEKUNDU YA CHINI KAMA BACKGROUND INAUMIZA SANA MACHO ,HASA UKICHANGANYA NA MAANDISHI YA KIJANI.
Ha ha ha Machozi connecting people weweeeeeeeeee wale tunaotafuta wenza lazima tutakutana pale loh cant wait jamani wadau tupo hapooooooo.
shikamooo DA MANKA mie naomba nipigiwe MACHOZI YA FURAHA.
she backkkk
cute smile
Safi jide wa mipango! soldier queen unatishaaaaaaaaaaa
ahaaaa lazima tufike tukirudi home, wanaume wa huku sijui hawaoni? labda machozi band tutaonekana jamani, weh nitacheza mtarimbo mpaka wabaki midomo wazi
Hi Jide,
big up dada unadatisha wewe ni mkali hakuna ubishi. mic u
ninaomba ijumaa upige wimbo wako wa NAILAZIMISHA FURAHA nitakushukuru sana ule wimbo unanikumbusha mbali sana enzi hizo........
always love u,
maida
Post a Comment