MBUNGE wa Jimbo la Mvomero,(CCM)mkoani Morogoro,Amos Makalla,akimpa pole mwanamama wa jamii ya kimasa aliyekuwa akisubiri kupatiwa matibabu,wakati alipotembelea Zahanati ya kijiji cha dakawa wilayani humo kwajili ya ukaguzi wa zahanati hiyo,Makalla alitoa kiasi cha shilingi milioni 1 papo hapo kwajili ya kukarabati miundombinu ya umeme ndani ya zahanati hiyo kwajili ya maandalizi ya kuingiza
26 January 2012
AMOS MAKALLA HUFANYA ZIARA MARA KWA MARA KUANGALIA KAZI ALIOIFANYA IMEFIKIA WAPI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Unajitahidi kuwa kiongozi bora ingawa issue fulani unatakiwa kupunguza kuacha najua ni ngumu
goood mr amos! u mekn it great. leadership is really something else, you cant please everybeing. so keep doing your best. kama kijana, naona mfano mzuri. BRILLIANT
interestin ....wish i knew smtin of this mvomero before. seems much modifications have been made. good honourable, GOD BLEC TANZANIA
mkombozi mVOMERO........
Post a Comment