Pages

25 January 2012

WINE ZA BEI MBAYA KULIKO ZINGINE DUNIANI

1907 Heidsieck: $275,000

1947 Château Cheval Blanc: $304,375

1869 Château Lafite: $233,972

1787 Chateau Lafite: $160,000

Royal DeMaria: $30,000

1978 Montrachet: $24,000

Hii ndio ya bei ya afadhali kidogo ukilinganisha na hizo nyingine
Sijui ukiinywa hii ndio unakuwaje Mtu atakaefanikiwa kuinunua animiminie tu japo kwenye kizibo cha Coke nionje

15 comments:

Anonymous said...

ha ha ha ha ha ha ha yaan hiyo ya kune kizibo mie ndo nimecheka mie wewe ukipewa kune kizibo mie naomba nigusishwe kwenye kidole nilambe kama asali.

Anonymous said...

mie niishike tu nishafishe njia

Ester Ulaya said...

Jide hiyo ya mwisho kabisa nataka ni i test, hahahaha wanywa wine wana raha sana, wewe ni kuchagua tuuu utakayo

Anonymous said...

mi mpenzi wa wine ila siwezi kutoa madolari mengi ivyo kwa wine. he! wine ghali kuliko gari duh! ununue alafu ikiisha sijui utajiskiaje. au ununue alafu kido wako angushe chupa ipasuke hahhhahaahah ni sooo

Anonymous said...

wine ghali kuliko bei ya nyumba masihara haya

Anonymous said...

Ah salaleeee! Duniani kuna mambo jamani!

Jide nakupa hi huko uliko. . Diva wetu Mungu azidi kukupigania urudi salama tunakumiss bongo!

Hizi wine ukinywa ndo inakuwaje sasa jaman kweli binadamu tuna mambo mengi!

Mama C. said...

Mmmmmmmh hii kali kuliko, hata nikishikiwa bunduki ninunue hiyo wine itabidi waniue maana sitanunua na uroho wangu wote wa wine!! loh ina maana nikinywa ndio itakaa kichwani sijui tumboni mwezi mzima au??? Hizo za kina Bill Gates na Oprah Winfrey akina sie hapa Dodoma wine tu tosha.

Kweli Jide una randa hutaki masihara... haya endelea kutuonyesha mambo mpendwa wetu.

Anonymous said...

Well Well, na ndio maana maisha ni kama vidole vya mkono kila mtu kwa uwezo wake, kuna wengine dodoma wine kwa ni ghali sana pia ni kheri anywe banana wine maana zote ni wine (zinatokana na fermentation ya matunda na kuchujwa tu).

pia ukiwa unaufahamu wa chemistry kidogo zote hizo ni alcohol yaani chemical formula yake ni C2H5OH(kwa wanaokumbuka hydro carbons na madhara yake ni yale yale kama vilevi vingine. so usijipe pressure kwa kuitaka hii ilihali ulevi ni ule ule tu.

Anonymous said...

Well Well, na ndio maana maisha ni kama vidole vya mkono kila mtu kwa uwezo wake, kuna wengine dodoma wine kwa ni ghali sana pia ni kheri anywe banana wine maana zote ni wine (zinatokana na fermentation ya matunda na kuchujwa tu).

pia ukiwa unaufahamu wa chemistry kidogo zote hizo ni alcohol yaani chemical formula yake ni C2H5OH(kwa wanaokumbuka hydro carbons na madhara yake ni yale yale kama vilevi vingine. so usijipe pressure kwa kuitaka hii ilihali ulevi ni ule ule tu.

Ima (Tha Designer) said...

tehetehete duuuu hizo bei kweli manakunywa au wanajitajia tu.? Lol

Unique said...

Raha jipe mwenyewe

Anonymous said...

Bei za Masanga hayo ni balaaa!!!

Yaani bei ya Chupa moja ni sawa na Bajeti ya Mwezi katika Halmashauri ya Wilaya hapa nyumbani Tanzania!

Yaani watu wanapata matibabu Zahanati, Akina mama wanajifungua, Makatibu Kata wanapata mishahara na Watoto wanaenda Shule za Msingi!

Anonymous said...

Jide kwa bei hiyo ya Masanga ni bora tubaki au turudi kwenye Gongo kama kwetu Musoma!

Anonymous said...

Hizo bei wanalewa watu kweli kweli wala si uongo!

Kwanza hapa hapa East Africa pana Billionaires Club inajengwa Malindi KENYA, inasemekana mlangoni patakuwa hakuna Mlinzi ila kuna Automatic Doors na mashine kama ATM mteja akifika anaingiza MASTERCARD PLATINUM au VISA BLACK CARD yake isiwe na balance chini ya USD 2 Million ndio mlango unafunguka anaingia,,,sasa je humo ndani Pombe za bei hiyo haziwezi kuwepo kulingana na Wateja wa ngazi hiyo?

Anonymous said...

We anony wa kwanza, kiswahili chako kimenitia kichefu chefu, inaonekana kama una kibogoyo hadi kwenye vidole vyako " kune kizibo " maanake nini? ala! sema "kwenye kizibo !" ebo! But anyways coming back to the point..Wine ni nzuri lakini ni mpubavu peke yake ndio anaweza kutoa mapesa yote hayo kwa ajili ya kununua chupa moja tu ya wine..Kweli watu wenye hekima walinena, " Fahari baba wa ujinga "