Thursday, March 29, 2012

KITU KIPYA HIKI

8 comments:

cally said...

okey! mziki mzuri na wanacheza vizuri. ila kuna lipstick mpako mmoja hapo mi nilidhani yule kaka wa *ze comedy* good job though..lol

sis said...

WIMBO MZURI SANA,ujumbe mzuri najitosheleza.
saafi kwanini siri zake umtolee nje jamani
asante kwa kutukumbusha miss SHAH
na malize mlindie.

kai rooney said...

Video nzuri, ujumbe mzuri, muziki mzuri ila ubeyonce mwingi. luv u shaa.

stivie-u.s said...

Shaa in another level,Good msg kwa walio kwenye ndoa na wanaoelekea huko pia.

Anonymous said...

nimependa sms tu coz ni ukweli mtupu tena kwetu sote wake kwa waume. anafanya kazi nzuri ila ajitahidi kuwa yeye shes trying to be someone else and she is trying so so hard u cn c it in the video

Mama C. said...

Good Msg.... but the dance mmmmh! comment reserved.

Hahahaha Cally mtundu weyee "ze comedy tena!!!"

Anonymous said...

i like the song,shaa, dance, style, color, dancers, they tried to be creative, & for me its work out good, nc job shaa.

Anonymous said...

Kiuno kinatingishwaaaa maana sio kukatika.. nice song.. ila hizi lipstick color tunazopaka midomoni ni za watu weupe jamaniii ndo maana Cally kasema kama ze comedy.. tuacheni kuigaa igaaa, a black lady with a pink lipstick au orange yaani kama kinyamkera ... big up for the song. though