Watu makofi waaa waaa waaa waaa waaa
Mdau wa Nyumbani Lounge Mr. Kasesela akiwakilisha kwa kutia baraka zake, kwa kuigusa na kupiga nayo picha
Mzungu akifanya vitu vyake kwa mfano wa JIDE
Na shukrani ziwaendee fans wote wa LADY JAYDEE
For the love and support


46 comments:
Congrats Lady Jay Dee u deserved it. God bless.
hongera sana mamii.
hengera jide
Dada hongera umetisha tena
Hongera sana Jide, yaan jana nilitaka kuugua kichaa maana nikawa naona muda waenda na tuzo yetu hatupewi, ulipopata yako niaenda na kulala nikiwa na raha tele, yaan am ur number one shabiki wa kimya kimya.
Nilijua ilo mana una kila k2 cha kushnda km msanii bora na jana wa2 ndo wamejionea kua wewe na vocalist wa hatar ambaye una pumzi ya kutosha nadhan ushajua mpaka hapo.leon lee
Kura yangu haikwenda bure nilikaa tumbo joto.....congratulation my beloved sisy Mungu yupo nawe daima na hakuna wa kukufikia hapa tz na east africa.endelea kuzikusanya hizo tuzo.na nilipenda sana maneno ya captain yan aliwakata ulimi ma haters wote, nanukuu "NAMPENDA SANA LADY JAYDEE"höngera kwa kupendwa coz ni wanaume wachache wenye kuweza kutangaza public wanawapenda wake zao.all da best......love u sanaaaaaaaaaaa
Hongera J dee
Hongera sana Binti machozi kwa hatua uliyofikia. Ni kwa jitihada zako binasi na baraka za kazi za mikono yako ndio zimekufikisha hapo. Maoni yangu kwako: WAKATI UJAO KWA KIWANGO NINACHOKIONA KWAKO, SII MUAFAKA KWA WEWE KUSHIRIKI TUNZO HIZI. IMEFIKA WAKITI NA MAHALI AMBAPO WATU WANATAKIWA WATAMBUE KWAMBA KIWANGO CHAKO SII CHA KUSHINDWANISWA NA WATOTO WADOGO KISANII. Tafakari hili na sidhani kama ni DHAMBI itayo andikwa popote kwa tendo hili. WEWE NI MWANAMUZIKI adhimu an adimu . Hebu tafakari na uchukuwe hatua. Ninakutakia mema sana.
Congrats Ladyjaydee!!
zidi kuongeza bidii.dada alafu nakushauri uimbe wimbo alafu uwe na gadna mwnzo mwisho watu wenye roho za kutu ziwaume.........
Hongera mamii.
Hongera sana mamee.
hey its out of topic...congrats thou
me is tanzanian bt m living abroad, i really do love your song nuru bt dont knw hw to get it...plz upload it on your blog i ve not heard it in like forever...thnx in advance
nilivyoruka utadhani napewa mie.....nway hongera sana sis u real deserve that my dear
Hongera Jide you deserve it.
Congratulations.....
Akisema atakubari hakuna atakaezuia kwani yeye ndie Mungu mwenye baraka zote. Hongera sana Jide na unastahili zaidi ya hiyo moja. Sifa tunamrudishia aliye juu kwa kipaji alichokupatia. Tuko pamoja.
Hongera Bibie,
Hii yote sio bure pia ni kutokana na moyo wako mweupe kwa wengine ndio maana unazidi kupata !
JEALOUSY A.K.A WIVU UNAENDA NA MTU KUANZA KUWA NA DHARAU KWA WENGINE, SASA AKISHINDWA NDIO ANAJENGA WIVU.
ILI TUFANIKIWE NI MUHIMU TUJIFUNZE KUACHA ROHO ZA WIVU NA KWA NINI IWE YULE?
Wawawaaaaa !!!!!
All Eyez on Lady Jide !
good work Jide i like your music
Hongera sana sana mdada, watu wanajiita kwa a.k.a nyingi tu ila mimi nilikuwa nakuita kimya kimya kwa kuwaambia watu jinsi ninavyokulinganisha ila leo ngoja nikwambie kuwa wewe ni "WHITNEY HOUSTON" wa AFRICA
Love you Jide aka African Whitney Houston
Wewe ni jembe lazima mazao yaje kwako mamy you deserve it big up u alwayz rockxxxxx
kinachokufanya ushindwe kuhudhuria kwenye utoaji tuzo ni nn? huo ni ubinafsi, sura mbayaaaa?
mwaka jana, mdau kakuchukulia tuzo, mwaka huu kilichokuwamisha usiende mwenyewe ni nn? au roho inakuuma unavyoona wenzio wanapokea tuzo 3 mfyuuuuuuuuuuuu
Wazuri wote huanika picha zao mitandaoni bali wenye sura mbaya wote ni ma anony na hawathubutu kuweka picha zao adharani, if you are not ugly send us your pictures plls www.ladyjaydee.blogspot.com
Hehehehehehehe jamani kunawatu wana wivu duuh atakama kuna watu wanachukua kumi yeye hawezi kuumia coz anajua iyo yake moja ipo miaka yote hao wanaochukua nyingi mbona cyo kila mwaka wakishapata mwaka mmoja unokuja basitena wamepotea Jide yupo juu miaka yote coz hana roho mbaya na kipaji anacho kinacho muwekajuu wewe mwenye roho mbaya zako pole mwaka kesho na wewe kamchukulie atafurahi pia acha wivu mpewa hapokonyeki:)anony April 16 2012 10:56am Mfyuuuuu uu ukurudie mwenyewe :(
Hongera sana Jide
Wise Monica mbona umewahi kunijibia jibu langu. 20% alizoa ngapi mwaka ukapita leo anazoa Diamond kila mwaka anaekuwa mpya na anatamba kwa wakati huo ndio anazizoa, sio TZ peke yake. Sasa Jide ana miaka mingapi kwenye game na yeye alishazizoa za hivyo kwa wakati wake, hao wengine wakishapita wanaenda ila yeye kila mwaka anapata hiyo moja moja na sio TZ tu anapata hizo moja moja mpk nje ya nchi mpaka sasa anazo kama 50 hivi. kwahiyo wewe anony kahesabu hizo unazosema tatu tatu za hao wasanii wako halafu umwambie na bintimachozi akupe idadi ya zake zote alizo nazo, halafu uje tukuzike na roho yako ya kutu. PMbavu zako
Kwanza hongera Gadner i loved ur speech was so proffesional,short,clear mwisho romantic. Yaani nashukuru mwanaume anae muheshimu mke wake na kumpenda kama mume wangu anananiringia kwa watu wengine wanampa maneno mke mwenyewe sio mzuri wanajipitisha mie nawaangalia wanawake mnakosea ili mume wako akupende na ajivunie ni wewe mwenyewe ndio unaweza mfanya hivyo na wala sio kuigasijui kufundishwa na makungwi kuishi ni wewe mwenyewe hakuna formula ya maisha kila mtu ameumbwa tofauti ukimwiga jide sijui mama kikwete anaishi na mume wake utashindwa jua mwenzio anataka nini hapendi nini anafurahishwa na nini mwenzio anapendamaisha ya kiswahili unaleta uzungu wako just be yoyrself you will win his heart jide nawatakia kila kheri na siku moja mungu atakubariki yote unayo ya omba kwake
Alafu Suzan uyu anony yupo peke yake umundani sasa maneno yamemuishia anaandika ilimradi aonekane ajaishiwa chakufanya tumchangie apate maji anywe iliapate chakuandia kwenye nex topic asiandike izo pumba zake coz wivu unamsumbua sana
Hongera sana Dada Letu.
Hongera Jide, watu roho kwatuuuuu! Wanaokuonea wivu wasamehe tu ukiamini kuwa Mungu atazidi kukuzidishia na kukupaisha anga za juu! Nakusubiri kwa hamu Alicia Keys wetu najua shule unayopiga italipa halafu watu ndio roho ziwaume vizuri. Mdau Tegeta
in short "jide wewe ni jembe" unayajua maisha na unajua nini unafanya kwenye hii fani ya music. Music kwako ni kazi na sio "game" kama wengine wanavyoiita. It doesnt matter what shit they say about wewe ni great vocalist, you have strong vocals na thats it. hamna la ziada wanaloweza kufanya zaidi y akukaa chini and hatin on you, im sure hata wangetoa tuzo za wasanii waliotajirika kutokana na sanaa zao wewe jide, AY na mwana FA MNGEKUA KATIKA LIST. wAY TO GOOO SISTER SHOW THEM HOW ITS DONE
Hv unayesema jide mbaya una uhakika???jaydee ni mzuri sn tena yupo natural nimemwona live kwa macho yangu.afu ww uliweandika nahisi sura yako haitazamik kwa ubaya...afu na ww unayelaum kwa nn hakuja mbona gadna alieleza kuwa jide yupo mason s.africa...nakushauri uache kiherehere cha kuingilia mambo yasiyokuhusu na wivu utakuua.mbwa wewe usiye na aibu
Congrats Lady Jay Dee, keep it up as always. Nothing to add than just encouraging you.
Hi Mdada, Jay Dee, hongera sana sana, hakuna mpinzani. God bless u mumy!
Acheni kumpamba,Witney wa Africa ipi? ni wa kawaida tu!
Acheni kumpamba,Witney wa Africa ipi? ni wa kawaida tu!
Acheni kumpamba,Witney wa Africa ipi? ni wa kawaida tu!
We unaye2kana 2kana mpaka uchoke jide anajulikana worldwide wakati wewe hata baba ako mzazi akujui.big up jide.leon lee
Hongrea Hongere wewe ni mkali bwana hakuna wa kupinga mwenyeuwivu ajiuweee ili asisikie unavyo funika
BINADAMU!!!.......................
panda juu ukazibe km unaona yeye Jide kupata tuzo imekukera, utakufa kinywa wazi shauri yako
hongera sana Jide kwa Award, nilifurahi sana.
Lizbeth
Much lav to u auntie jide lav yah much n congrats
Post a Comment