Sunday, April 22, 2012

FUTURE CELEBS

Wamebambwa wakishangaa live

Mwingine anakula ride hana habariiiiiiiii

14 comments:

ngaizaskids said...

Tih tih tih hii picha ni zaidi ya picha oh My God neipendaje sasa.

wise monica kaaya said...

Hahahahahaha kweli wamebambwa zinafuiraisha sana picha:)

Anonymous said...

Mashauzi.com

Klarah said...

Unaweza kujishaua pia kama na wewe unalo inaruhusiwa ila tatizo linakuja pale unapokuwa hujui pa kulipata ndio zinapokuja comments kama hizo, hata uuze mwili miaka 100 hulipati la hivyo

kai rooney said...

Uwiiii Klarah umeua hahahaaaa! picha zimenipa tabasamu la mchana mwema.

Anonymous said...

tatizo Klarah una mapungungu sana kama una fikiri kila mtu atajionesha na alonacho sijui ingekuwaje, na kama kuuza mwili hata bibi mama shangazi na dada zako pia aliipitia hiyo kazi ndo maana wewe ukajua kuadika comment. uchuziiiii.....

Klarah said...

Kila mtu hawezi kujionesha na ndio maana kila mtu sio Jide, wewe kama hupendi yeye anapenda. so shut up, kwani wewe na yule mwanamke wa jirani yako wote mnapenda vitu sawa? u sound like one stupid i**t

Suzan said...

kama kitu sikipendi na kinaniumiza kila nikikiona nitajiepusha nisikifatilie, sijui anony huyu anapata shida ya nini? wakati blog zipo za category mbalimbali. jide alikufanyaga nini kikubwa mbona ni wewe tu kila siku lazima uje kuchafua hali ya hewa? mbona zipo blog za mipasho na matusi kwanini usiende uka comment huko? nadhani humu hapakufai, kama unang'ang'ania utakuwa ni shetani muondoa roho za watu na Jide anakupa wakati mgumu sana inaonekana hata huwezi kulala bila kutaja jina lake. jiepushe nae

wise monica kaaya said...

U very ryt Suzan uyu anasumbuliwa sana na maendeleo ya jide na Mungu alivyo kuwa hana hiyana na mjawake anazidi kumuongezea tu Komando Jide yuko up chezeaa ushauri wangu nenda kaombewe kama kuomba mwenyewe huwezi ilo pepo la wivu likutoike kaaa,,,,

Anonymous said...

Hana maana huyo Jide endelea kukaa kimya atjijuuu na Domo lake chafu . hao ndo wasio na maisha bali wanapumzi za kuwafanya waishi Jide uko JUUUUU frm Sweden

Ester Ulaya said...

hahahahhaa nimeipenda hii Jide

Anonymous said...

wewe anoy unayesema mashauzi.com nitafte nikupeleke kwa wanasaikolojia uende ukawa na ugonjwa ukiona mwenzio ana ki2 bc unaugua.leon lee

Anonymous said...

Hivi picha za bus zilibadilishwa? Nakumbuka uliomba mawazo ya wadau humu.

Anonymous said...

ha ha haaaa! jamani kwenye hiyo picha imenichekesha hiyo ya huyo anyekula ride hana habari, nimecheki vizuri kumbe ride yenyewe ni kwenye sanduku nadhani limeharibika au kutolewa mfuniko wa juu so imebaki kama toroli fulani wenzake wanamwendesha humo! wabunifu sana watoto hao, au wazazi kama ndio wamewapa, big up sana kwani sio wote tunaweza afford vile vigari vya kuendeshea watoto.