SATURDAY 27TH JUNE 2009, MZALENDO PUB NA SWEET EAZY
NA COMMENTS ZILIKUWA KAMA HIVI:
Ndo hivyo asiefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu.....acha ulimwengu umfunze huyu mtoto mana kalizidi,yan akae hukohuko polic mana akitoka wananchi wenye hasira kali watamuua.
Mdadaz mnavutia na ni Warembo sana isipokuwa mambo yalipofikia kufuatia Mkasa na kifo cha Ndugu yetu Mpendwa Steve Kanumba imefikia saa inabidi sisi Masela tuwakandamize nyie Mademu wazuri huku mkono mmoja umeshika Bastola kwa watu wa Mijini na watu wa Vijijini kama Rorya-Musoma kule watakandamiza Mademu wao huku mkono mmoja Kisu Mkononi !
ITABIDI TUFUNGUE MLANGO NA UKURASA MPYA WA MAPENZI HUKU SILAHA MKONONI ILI TUSIJE KUFA KTK MAPENZI !
Mapenzi ni sehemu ya maisha lakini ,,,Kifo au Usaliti kupitia tiketi ya mapenzi vinauma saana !
KWA VILE NI DHAHIRI YA KUWA:
''Mapenzi yana confort kwa vile penye penzi la kweli wawili wanaweza kuwa na maisha duni au kipato cha chini lakini wakajiona kama Matajiri wakubwa na kihali walitosheka''
HAIKUPANGWA KITU CHENYE KUTIA FARAJA KIMAISHA KAMA MAPENZI KIWE NI CHANZO CHA MASIKITIKO NA KUFIKIA MWISHO WA UHAI !
Dalili mbaya zilishaonekana asubuhi Kama Leo wanasema Ana miaka 17 ukiangalia Iyo picha ni miaka mitatu nyuma it's means alikua miaka 14...?..? Mungu wangu wazazi wake walikua wapi mtt wa umri huwo Anatoka usiku na kuvaa ivyo
kweli kapendeza
Anyway sitaki kukufananisha na mwingine maana wewe utabaki kuwa wewe siku zote,ila ukweli lazima niseme hii iakuongezea heshima na wapenzi zaidi.
Mtoto Mainda sijui Lizy kama unasoma hapa achana na mambo hayo ya kujirusha kwa wakubwa soma kwanza,kama unapenda ustar wa kucheza filamu basi nenda Chuo cha Bagamoyo kajiendeleze kama uko sekondari basi endelea maana unaoneka hata sekondari haujamaliza,haya mambo yapo na utayakuta