Tuesday, April 10, 2012

Picha za matukio ya mazishi ya kanumba

Picha za baadhi ya matukio ya mazishi ya kanumba
Picha kwa hisani ya MxCarter
Follow http://twitter.com/mxcarter

8 comments:

Anonymous said...

R.I.P Steven Kanumba..pole sana na pia nime penda kwa wewe kua mmoja ya kati ya wale waliofika msibani Big up sana dada yetu mpendwa lady Jay Dee alaf kingine nilikua nasemaje please contact me ''mussaally@hotmail.com''

Anonymous said...

Dada Wema kapata mapigo ya mfululizo mara x bf amekataa pesa mara xbf kafariki pole mamito

Eunice said...

UPUMZIKE KWA AMANI KANUMBA, HATUTAKUONA TENA MPENDWA MPENDWA WETU. RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA RAHA YA MILELE UMWANGAZIE, APUMZIKE KWA AMANI, AMINA.

Eunice said...

You were "The Great" as ulivyojiita kama nick name yako, we will always respect you as our number one film artist in Tanzania. Rest in Peace Bro Kanumba "The great pioneer".

Anonymous said...

jide pls tufafanulie, kuna picha niliziona marehemu kavaa medali shingoni. ni ya nini?

stevie-u.s said...

Thats true wema hawana maisha umati ulithibitisha.Medali aliyovishwa nadhani ni ile alipewa kwa kua msanii bora wa kiume wa filamu 2011-12 kule ziff zenj .

Anonymous said...

Halita pingika hayati kanumba alipendeka na watu.ukifanya utafiti ni mtu wa kwanza katika tz kukonga roho za watu hadi wa maisha ya chini.hakugawa fedha ila kwa kipaji chake.ktk maisha nipicha itupatiayo ushuja kama ukiweza tumia vizuri kipaji chako basi kweli jamii itapendezwa nawe.dada jdey (ni ushauri tu)kupitia ww ebu fanyen sanaa yenu itukonge njoyo zetu ili ata ukitowe ck moja ubaki mioyon mwetu milele.amina.

Unknown said...

hapo ndootujifunze kumuja mungu maana hatujui tutakufa lini na kwasababu sio mpaka uguee nihayo tu!