Monday, April 2, 2012

SEHEMU ZINAKOPATIKANA CD ZA ALBUM YA 5


Kwa wale wanaoulizia CDs zinapatikana wapi, nimeona nitoe jibu la pamoja kurahisisha mambo.

DAR ES SALAAM:
Zinapatikana:
1. Mtaa wa MKWEPU karibu na Posta, pembeni ya duka la MSAMA MUSIC CENTER


2. SHEAR ILLUSIONS - Mlimani  City
3. KILIMANJARO AUDIO CENTER - karibu na Corner Bar Sinza
4. Traffic Lights za PALM BEACH -Ali Hassan Mwinyi Road
5. NYUMBANI LOUNGE

MIKOANI:
Piga simu namba 0767 884 007
au e-mail: nyumbanilounge@gmail.com

Ni matumaini yangu kuwa, maelezo haya yatakuwa yamesaidia kwa njia moja ama nyingine.
Poleni kwa usumbufu wowote uliojitokeza

7 comments:

pm said...

haya dada tutaetenda kununua. asante kwa info

Happy nyagawa said...

Jamani fanyen hima kununua kazi original.naamin atakayenunua cd ya the best of lady jaydee hatojutia kwani iko bomba ile mbaya.me kila ck lazima niisikilize na si chini ya mara 3.hongera dada jide kazi zako ni nzuri sana uzidi kubalikiwa na ntakupenda milele daima.nyc day

Anonymous said...

Hi jide hiyo namba ni sweden?kama ni sweden mbona hawajibu??nilitaka kujua bei na namna ya kunipostia,niko sweden lakini mji mwingine na stockholm..asante sana

diadora said...

Asante kwa taarifa yaani nikirudi town ndio kitu cha kwanza kufanya.

Anonymous said...

what's the selling price, plz advise!

Anonymous said...

what's the selling price, plz advise!

Anonymous said...

When I initially left a comment I appear to have clicked the -Notify me when new comments are added- checkbox and from now on every time a comment is added I get 4 emails
with the exact same comment. Perhaps there is an easy method you can remove
me from that service? Appreciate it!
Feel free to visit my site - head unit