Monday, April 16, 2012

WEDDING BELLS


 
Rais wa Afrika ya kusini Mh. Jacob Zuma anategemewa kuoa mke wa nne Bi.Gloria Bongi Ngema pichani. 
Rais Zuma anategemea kufunga ndoa hiyo week end ijayo, msemaji wake mkuu amethibitisha hilo

Wakati huo, wapenzi wengine wa muda mrefu tangu 2005 wanatarajiwa kufunga ndoa.
Ni Brad Pitt ambae ameamua kumvisha pete rasmi ya uchumba Angelina Jolie

Ambae ana watoto nae 6, watatu ikiwa ni damu yao na watatu waku adopt.
Hii itakuwa ni ndoa ya pili kwa Brad Pitt baada ya kuachana na Jenifer Aniston, lakini kwa Angelina Jolie itakuwa ni ndoa yake ya tatu....Kwani kuna wawili huko nyuma walitangulia lakini kwa bahati mbaya haikuwezekana kudumu na kuwa pamoja

8 comments:

Anonymous said...

Mmh jamani Zuma! Khaa....

Anonymous said...

Mnhhh sasa Ki-Babu Zuma a

1.Anaoa kwa Imani ya Dini gani yeye ni Muislamu kwa kuwa na mke wa 4?.

2.Kwa umri wake sasa ilibidi atulie kitandani afanye love story na romance nyingi bila 'mtalimbo' kamili.

3.Imethibitika Kisayansi licha ya Urijali wa mtu uwezo wa ngono hutegemeana na umri, umri ukiwa mkubwa pumzi zinapungua!,,,mzaha mzaha mwisho hutumbua usaha, bureee Babu Zuma asije kuwa Raisi wa kwanza Duniani kufia kifuani mwa Mwanamke!

Anonymous said...

Ahhh wapi Zuma wa Afrika Kusini anajibu Mapigo kwa Jirani yake anaeoa kila mwaka Mfalme Muswati wa Swaziland !

Anonymous said...

Hii sasa Zuma anataka kuleta ubishi tu!

Anonymous said...

NYNYI kunawengine mwenyezi mungu kaajalia mimi babu yangu alikuwa na miaka 70 lakini bado anapiga vitatu hivyo kilamtu na alivyoumbwa

Klarah said...

Anony wa 2:03PM pole sana japo babu alikuwa ngangari lakini mchezo aliokuwa anakufanyia sio mzuri manake kama angekuwa hakufanyii wewe ungejuaje anapiga vitatu kwa umri huo?

Anonymous said...

Klarah na Anonymous wa 2:03PM ohhh baadhi ya Mababu hawaaminiki!

Enhee ama kweli Wanaume hawazeeki!

Jamaa mmoja hapa Mjini Dar alimleta Babu yake kutoka shamba wa umri wa miaka hiyo hiyo 70+ , sasa kumbe jamaa akitoka asubuhi kazini nyuma mchezo unajiri mechi kali saaana Uwanja wa Nyumbani sijui ni Old Trafford , sijui ni Anrield au Emirates vile!

Siku moja jamaa alitoka asubuhi akawa amesahau kitu nyumbani akarudi ghafla saa 4 asubuhi, ohhh jamaa hakuamini macho yake akamkuta Babu yake 'live' bila chenga juu ya kifua cha Mkewe!

Anonymous said...

wewe anon wa 18,2012,3;52 unastaajabisha unafikiri mpaka upigwe wewe huyo alikuwa babu anachukua vimwana anagonga huku akinywa rubisi yake haya mambo ya dini sijui mke mmoja huo ni ujinga mwanamme rijari kuwa na wake hata saba nane kumi sawa tu kwasababu mungu hajaumba dini yeye kaumba halafu akasema kaijazeni dunia mke mmoja ni sawa kuwa na dadako ambaye huwezi kumfanya kitu wakati yupo hivyo mke akiwa kwenye siku zake unaenda kupiga mkewa pili au watatu au wa nne