Mwanamitindo
wa kimataifa Flaviana Matata Amekuja nchini akitokea nchini Marekani
ambako ndiko yaliko makazi yake kwa sasa mahsusi kwa ya ajili ya kugawa
msaada wa VIFAA VYA
KUOKOLEA
MAISHA MAJINI (life vest) ikiwa ni miaka 16 tangu meli
ya MV BUKOBA izame ambapo mama yake mzazi alifariki kwenye ajali hiyo
anatarajia kugawa msaada wa vifaa hivyo Jumatatu ya 21 May jijini Mwanza
4 comments:
Beatiful,keep it up girl.
mungu awalaze mahali pema peponi...na FLAVIA NI MFANO WA KUIGWA
Big up Flavy, we need this kind of attitude
Safi sana Lavy, Mungu akubariki
Post a Comment