Imani Ntila akiwa na mkewe kwenye siku yao kubwa
Ilikuwa tarehe 19/05/2012
Kanisa la mtakatifu Paduo mbagala Zakhem.
Na baadae sherehe zikafanyika katika Ukumbi wa New Zhonghua Garden
Thank's And much love
Ima (The Designer)
Kanisa la mtakatifu Paduo mbagala Zakhem.
Na baadae sherehe zikafanyika katika Ukumbi wa New Zhonghua Garden
Thank's And much love
Ima (The Designer)
10 comments:
duh ulinitisha kweli na hicho kichwa leo dada.
Hongera kaka hongera sana.
sasa vipi honeymoon hutaki marashi ya Pemba?
Hongera sana kaka,wifi kaibu nyumbani.Tunawapenda sana
hongereni sana. kila la kheri ktk maisha hayo mapya :)
Hongera kaka welcome to the club.
Tumefurahi familia imeongezeka ongera sana Imma.
Thank's wapendwa na ndugu zangu La Familia, Disminder huko ndo niliko kuwa ila for 2 days the nika rudi jijini.
Hongera sana The Designer, karibu chamani
mi tabasamu lao tu ndo limeniacha hoi!!! linaonyesha mafanikio mbeleni'
mungu awe nanyi.
aaah ubaya huo kaka hukutaka nyongeza yangu? Najua mtoto mtoro but please next time you holla me!! All
Hongera nyingi kwako Imma na wife, such a blessing fam....
Post a Comment