Ndio siku hiyo hiyo nilikuwa nimefika na nisingeweza kulala bila kufika eneo la tukio.
Ila pia nisingeweza kurukia na kuanza ku perform moja kwa moja, nilingojea wenyeji wamalize halafu nitie nakshi kiduchu tu
Picha ya chini mwenye shati jeusi, Huyo ndio kiboko ya ma Piano, anaitwa Elysee, ndio atakuwa anaendelea kunifua mpaka niive, Legendary Pianist meets Upcoming
Good People, Good Music
Na hii ilikuwa ni siku ya Ijumaa ya tar 1, June 2012
Na hii ilikuwa ni siku ya Ijumaa ya tar 1, June 2012
6 comments:
Nyumbani Lounge raha ,
karibu sana nyumbani,natamani nisikie unaimba i will always love you ya Withney Houston
Jide mie natamani sana kujifunza kuplay piano..naomba unielekeze mahali unapojifunzia....
Naamini muda si mrefu utakikung'uta kinanda. Natamani kuwepo siku ya kwanza utakapoipiga live. Wish you goodluck.
Isabella.
YOU SHOULD BE HERE!!
I love u Jide.sijakuon ukiimba live tokea mwaka juzi.....lini live nije tufurahi pamoja?
Post a Comment