Tuesday, June 5, 2012


Familia ya Shy-Rose, Dada mkubwa, wifi, ma nephew pamoja na marafiki wa karibu, picha ya pamoja muda mchache kabla ya kuapishwa
Abdullah Ali Hassan Mwinyi pamoja na mkewe, muda mchache kabla ya kula kiapo


Picha za juu ni waalikwa mbali mbali waliokuwepo kushuhudia, ndugu jamaa na marafiki zao wakiapishwa kuwakilisha nchi zao katika Bunge la Afrika mashariki.
Nchi hizo zikiwa ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi

3 comments:

cally said...

tuhabarishe Jide. hizi ni news fresh bado Hazijachakachuliwa. mpiga picha kazi nzuri :)

stevie-u.s said...

Huu ndiyo urafiki wa kweli naona hata imani za kisiasa zimewekwa kando safi kabisa, wengine wakiwa na mitizamo tofauti kwenye jambo hawawezi hata kusalimiana,waige huu mfano

Anonymous said...

Jide you have done a great job. I like your bloge, umeibadilisha imeleta muonekano murwa zaidi