Sunday, June 17, 2012

HII ILITOKEA IJUMAA YA TAR 15 JUNE 2012

Kidogo kidogo wakati tunangojea kununua lile Piano kubwa kabisa Grand au Baby Grand.
Tutaangalia na Upepo unavyoenda kutokana na Sanya Sanya

3 comments:

Anonymous said...

Ckuepo bt the way unavyoimba kwa hisia pipo waliburudika sana.leon lee

Stellah-Tanga said...

waoh, umependezaje my dear! naamin mungu atakusaidia utanunua tu hko kinanda. Umetokelezea bi dada!

R.Ngaiza said...

Kazi njema mami, nakukubali daima. Pamoja