Mdau akiwa na Venture na Berna
Mkali wa keki Bi.Maggie, ambae pia ni member wa LA FAMILLE alinitolea kitu cha keki ya Piano
Ukitaka muundo wowote anafanya na unatokelezea
Mwanamke kujiajiri "Ujasiriamali"
Barnaba akaimbisha wimbo, keki ikakatwa watu wakajinoma
Barnaba Boy alikuwepo kutusindikiza na kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Komandoo, alikamua ni balaa
Namfananisha na Lokua Kanza, "style yake ya muziki"
Nidhamu, kujituma na vingine vizuri pia amebarikiwa
Always happy nikiwa na watu flani flani, Sab kulia kwangu
Raha ya nguo nzuri na ikikupendeza sio kulala nyumbani
Ni kutoka ili watu wakuone.
Hiyo ndio raha ya MACHOZI BAND, Flowers za kumwaga
Good Music, Good People
2 comments:
Ulipendeza sana sana nimelyk.leon lee
Hasaaaaa!!!!!na pale mwanamke anapojua kuzitengeneza na kutunza nywele daaaaa,nywele imesimama
Post a Comment