Ikapigwa Dinner ya watu 50 pale
Ndafu na keki vikakatwa watu wakajinoma ile mbaya
Nadhani jina linaonekana kwenye Cake hapo juu
Ma superstar wa muziki wa Kizazi kipya kama Banana Zoro pia walihudhuria
Bob Junior rais wa Masharo Baro nae alitia timu
Baada ya hapo DJ Peter Moe, na Kelvin wakaliungurumisha mpaka asubuhi..... ni shangwe tuu hakuna kununa
No comments:
Post a Comment