
Mchekeshaji
wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku
akitoa burudani ya kuvunja mbavu usiku wa kuamkia leo kwenye shoo yake
ya kila jumanne ya mwisho wa mwezi iliyofanyika Nyumbani Lounge Jijini
Dar esa Salaam.


Dogo Pepe akivunja mbavu mashabiki wa Comedy Club ya Evance Bukuku Nyumbani Lounge.


Enika akichekesha mashabiki kwa njia ya nyimbo.

We feel you Enika…..Wow nice.
Enika kazini akiwapa raha mashabiki.
Palikuwa hapatoshi.
Cheka upate kuongeza siku zako za kuishi duniani.
Mpaka watasha walikuepo.
Mashabiki wakivunja mbavu.
Makofi kwao tafadhali.
Dada taratibu mbavu zisichomoke Ohooo.
Evance kikazi zaidi.
Picha na maelezo Copy/Paste kutoka Mo Dewji Blog








1 comment:
watasha walivodharau mswaili na kicheko chao plastic
Post a Comment