Kulikuwa na rahaajeee
Cute Smile na Leon Lee walijishindia Dollar 100
Baada ya kupita kwenye votes za watu kutaka wapige mabusu hadharani. WakafunikaWakaomba wachenjiwe wagawane hapo hapo kila mtu aendelee kuzitumbua usiku huo kwa raha zao
Chezeaaaaa
Da Joy ali pop in kusema Hellow
Washindi waliopendeza zaidi kutokana na kura za wana Famille no. 1 alikuwa ni Wise Monica Kaaya na no.2 alikuwa ni Ester Ulaya....walipata vijizawadi vidogo tu
Ila Party ijayo tutajitahidi pawepo na sponsors ili kuleta changamoto na kutoa Zawadi kubwa zaidi
Mwanzo mgumu
Picha ya pamoja LA FAMMILE
Waliohudhuria ni 1.Happy Happy, 2. Wanty 3. Sis
4. Anna 5. Faraji 6. Marcell 7. GK 8. Cute Smile
9. Leon Lee 10. Maggie 11. Monica 12. Mama Siyabonga a.k.a Boss Kitumbo 13. Pretty Dacha 14. Ester Ulaya
15. Maggie na 16. Jide
Tukawa na msanii mpya wa Bongo Flava akamwaga cheche mtamfahamu hivi kaibuniPretty Dacha (ki model chetu) tunamtafutia Agency kama kuna mtu huko anahitaji chuma hiki hapa mkijaribu
Maggie (Bi harusi mtarajiwa) na Marcell
Leon Lee & Monica
Anna & Happy
Wanty & Ester Ulaya
Melissa, Sis na Cute Smile
Mwenye Black na white ni GK
Washindi wa 1 na 2, Ester na Monica
Busu la 2012
Jumamosi ya tar 30 tukijaaliwa uhai
Tunakwenda kutembelea kituo cha watoto yatima walioandika barua kuomba msaada kwa LADY JAYDEE na friends
Kwa yoyote ambae hakuhudhuria La Famille Dinner
Na angependa kushiriki kutoa msaada tuwasiliane
e-mail: judyjaydee@yahoo.com
KUTOA NI MOYO
Tutaongozana na Bus la pamoja na mizigo yote itakabidhiwa kwa wahusika na haipitii mikononi mwangu
Asanteni kwa ushirikiano
WITH LOVE
JIDE
17 comments:
Mmetisha, tumemisije!!
Mlipendeza sana wapendwa.
much love!
du wapendwa tulitokelezea mbayaaaaaaaaaaaaaaaa.
kila lakheri la familille.
j3 njema kwa wote na kazi njema pia.
Jaman Cute smile na huyo mkaka wafall inlove kweli wamependezana wenyewe!...........
naomba contact za huyo leon na pia naomba kuingia kwenye familia yako.
mmependeza wana familia. hongereni kwa kutuwakilisha vema...
I miss you all La Familia.
ooh so sad nimekosa tena jamani but inshaAllah nikiwa nimerejea nitaungana nanyi katika hiyo safari ya kuona watoto. will holl you mamakeee.
Tulitokezea hatariii big up la famille nawapenda saaaaannaaa
jamani mmependezaje? missing u so much! naamin next event mungu akipenda tutakuwa pamoja, Jide my dear god bless u! One love
Tulipendeza sana jamani na tukuna gud time ilembaya thanx so much Mamy kwakuni prom
Pretty Dacha
2litisha mbaya.la familia idumu.thanx jide 4 everythng.leon lee
Jide shukrani sanaaaaaaaa kwa upendo ulio nao kwetu, hii familia idumu zaidi, asante kwa zawadi pia, Familia oyeeeeeeeee
Wivuuu, wivuu.com watu mlinogaje? Busu kwenu wapendwa wangu
asiye na mama aeleke tofali....asante mama for the day....binafsi nilifurah sana tuliinjoy mno! U r such a good person mama Mungu akubariki!
Wote mna nyuso za furaha kuonyesha kwamba mlifurahia vilivyo Mungu adumishe umoja huu. Nimemiss tena hii aagh majukumu haya ila ijayo najua hata kama sitashiriki kimwili ila ninaweza kushiriki kwa kutoa mchango.
Huu umoja ni muhimu na siku zinavyoendelea unaanza kuonyesha mafanikio kama kuwatembelea na kusaidia yatima wazo zuri Jide.
Mlipendeza sana wapendwa, nami naomba nijiunge na familia.
Post a Comment