Tuesday, June 5, 2012

MUDA MCHACHE TUKIWA TUNASUBIRIA KUELEKEA WANAPOAPISHWA WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI


Twamngoje Bi Harusi wetu akatinge viwalo tumsindikize
Bado namuita Bi Shy, ila baada ya muda mfupi tu jina litaongezeka kwa mbele na kuwa Mheshimiwa Shy-Rose Bhanji

Picha ya chini, ni waheshimiwa wengine #Team Shy-Rose

12 comments:

Anonymous said...

Congrats dada Shy Rose.

Ester Ulaya said...

Mmependeza mnoooo, Shy dear all the best

kai rooney said...

Wasafiiii! mmependeza sana, hongera Shy-Rose.

Disminder orig baby said...

mimi nakubali nyie mnapendana tenakwa dhati. Asante sana Mungu awatangulie.
I love the look REd imependeza sana.

cally said...

hongereni kwa support yenu. mshikamane na furaha iwatawale ktk huo urafiki wenu,msiwakaribishe wanafki wakaja kuwavurugia. looking good all of u :)

Anonymous said...

eh jide dadangu unaniangusha. kwenye matukio kama hayo jitahidi kuvaa kulingana na tukio. vaa kijisuti chako mwenyewe simpo sababu upo na waheshimiwa. usijibaaaaaaaane hivyo kila sehemu utafikiri upo jukwaani wajameni mweeeeh!

Dorry said...

Hongereni sana jamani you look so gud

wise monica kaaya said...

Hongera sana da Shy mmependeza sana zaidi ya sana

Anonymous said...

Hapo mlikuwa hotel gani?

Ald said...

Nimefurahi kumwaona Jafaray akim-support Shy rose

cisca kayumbo said...

hongereni sana eh

Anonymous said...

Am happy for Shy-Rose,God Bless u.