Congrats dada Shy Rose.
Mmependeza mnoooo, Shy dear all the best
Wasafiiii! mmependeza sana, hongera Shy-Rose.
mimi nakubali nyie mnapendana tenakwa dhati. Asante sana Mungu awatangulie.I love the look REd imependeza sana.
hongereni kwa support yenu. mshikamane na furaha iwatawale ktk huo urafiki wenu,msiwakaribishe wanafki wakaja kuwavurugia. looking good all of u :)
eh jide dadangu unaniangusha. kwenye matukio kama hayo jitahidi kuvaa kulingana na tukio. vaa kijisuti chako mwenyewe simpo sababu upo na waheshimiwa. usijibaaaaaaaane hivyo kila sehemu utafikiri upo jukwaani wajameni mweeeeh!
Hongereni sana jamani you look so gud
Hongera sana da Shy mmependeza sana zaidi ya sana
Hapo mlikuwa hotel gani?
Nimefurahi kumwaona Jafaray akim-support Shy rose
hongereni sana eh
Am happy for Shy-Rose,God Bless u.
Post a Comment
12 comments:
Congrats dada Shy Rose.
Mmependeza mnoooo, Shy dear all the best
Wasafiiii! mmependeza sana, hongera Shy-Rose.
mimi nakubali nyie mnapendana tenakwa dhati. Asante sana Mungu awatangulie.
I love the look REd imependeza sana.