Huu utamaduni wa kuhudumia vijibwa kama binadamu kwa mwafrica umeanza lini? MMM WAFRICA HATUJAMBO KWA KUIGA, SASA NI MAMBO YA KUDUMIA VIJIBWA, WAKATI WATOTO WA MITAANI WAMEJAA KIBAO WANAITAJI HUDUMA KAMA HIZO, HEBU WAKUMBUKENI NAO MWAFANYE DIZAINI ZA KUWAHUDUMIA KAM VIJIBWA
Safiii sana, hii idea ya kuwakutanisha watu mimi naikubali 100%, natamani sana na mimi nikutane na La Famille, Mungu akipenda nitakuja kujitambulisha, I hope jina langu bado lipo kwenye list.
thitakiiiiiiiiiiiii NHiiiiiiiiiiiii KUMBE mlifaidi hiviiiiiiiii aaaaaaaaaaaaaaaaaghhhhhhhhhhh. Nimelia mpaka machozi yamekauka. duh ila wajameni tumuombeee sana mama kubwa maana hii yote ni sababu ya upendo wake LA FaMiLlE Idumuuuuuuuuuuuuuuuu.
Wivuuuu Sumu ya roho inaniua akanana mie. Asante wawakikishaji Muendelee kutuwakilisha. Can't wait zamu yangu. La familia pamoja sana muwe na moyo huo huo.
13 comments:
I miss guys.
tuko pamoja majukumu tu.
Huu utamaduni wa kuhudumia vijibwa kama binadamu kwa mwafrica umeanza lini? MMM WAFRICA HATUJAMBO KWA KUIGA, SASA NI MAMBO YA KUDUMIA VIJIBWA, WAKATI WATOTO WA MITAANI WAMEJAA KIBAO WANAITAJI HUDUMA KAMA HIZO, HEBU WAKUMBUKENI NAO MWAFANYE DIZAINI ZA KUWAHUDUMIA KAM VIJIBWA
waoh full kuenjoy, hongereni wapendwa!
Mhh! Westernized eh!
Safiii sana, hii idea ya kuwakutanisha watu mimi naikubali 100%, natamani sana na mimi nikutane na La Famille, Mungu akipenda nitakuja kujitambulisha, I hope jina langu bado lipo kwenye list.
Thats was nice, inaleta ukaribu miongoni mwenu kuliko kukutana mara moja kwa mwaka then kila mtu kivyake
thitakiiiiiiiiiiiii NHiiiiiiiiiiiii KUMBE mlifaidi hiviiiiiiiii aaaaaaaaaaaaaaaaaghhhhhhhhhhh. Nimelia mpaka machozi yamekauka.
duh ila wajameni tumuombeee sana mama kubwa maana hii yote ni sababu ya upendo wake LA FaMiLlE Idumuuuuuuuuuuuuuuuu.
Wivuuuu
Sumu ya roho inaniua akanana mie. Asante wawakikishaji
Muendelee kutuwakilisha. Can't wait zamu yangu. La familia pamoja sana muwe na moyo huo huo.
ahsante sana mama kwa upendo wako
La famille tunafaidi sana jamani ingawa nilikosa iyo i hope ijayo namie ntafaidi shukrani sana mama we love uuuuu saaaaana
hongereni sana wapendwa mliifurahi sana na mie siku moja nitakuja uko dar lazima nikutafute dada jay
tusiokuwa wan familia tutakula kwa macho
Out of Topic.
Dada Jide mbona umepunguza size ya pictures yaani zinaonekana ndogondogo? Uongeza size kidogo tuone kwa ukaribu zaidi.
Kazi njema.
Post a Comment