Monday, June 25, 2012

SAFARI YA LA FAMILLE BAGAMOYO



Kutoka kushoto ni Ester, Christine, Faraji, Maggie, GK na Cute Smile


 Lengo ni kujenga upendo na umoja na kuendelea kuzoeana
Bi Anna na Vijibwa

13 comments:

Disminder orig baby said...

I miss guys.
tuko pamoja majukumu tu.

Anonymous said...

Huu utamaduni wa kuhudumia vijibwa kama binadamu kwa mwafrica umeanza lini? MMM WAFRICA HATUJAMBO KWA KUIGA, SASA NI MAMBO YA KUDUMIA VIJIBWA, WAKATI WATOTO WA MITAANI WAMEJAA KIBAO WANAITAJI HUDUMA KAMA HIZO, HEBU WAKUMBUKENI NAO MWAFANYE DIZAINI ZA KUWAHUDUMIA KAM VIJIBWA

stellah-Tanga said...

waoh full kuenjoy, hongereni wapendwa!

Anonymous said...

Mhh! Westernized eh!

Bob_Dash said...

Safiii sana, hii idea ya kuwakutanisha watu mimi naikubali 100%, natamani sana na mimi nikutane na La Famille, Mungu akipenda nitakuja kujitambulisha, I hope jina langu bado lipo kwenye list.

stevie-u.s said...

Thats was nice, inaleta ukaribu miongoni mwenu kuliko kukutana mara moja kwa mwaka then kila mtu kivyake

Anonymous said...

thitakiiiiiiiiiiiii NHiiiiiiiiiiiii KUMBE mlifaidi hiviiiiiiiii aaaaaaaaaaaaaaaaaghhhhhhhhhhh. Nimelia mpaka machozi yamekauka.
duh ila wajameni tumuombeee sana mama kubwa maana hii yote ni sababu ya upendo wake LA FaMiLlE Idumuuuuuuuuuuuuuuuu.

R.Ngaiza said...

Wivuuuu
Sumu ya roho inaniua akanana mie. Asante wawakikishaji
Muendelee kutuwakilisha. Can't wait zamu yangu. La familia pamoja sana muwe na moyo huo huo.

aalusinde said...

ahsante sana mama kwa upendo wako

wise monica kaaya said...

La famille tunafaidi sana jamani ingawa nilikosa iyo i hope ijayo namie ntafaidi shukrani sana mama we love uuuuu saaaaana

jane musoma said...

hongereni sana wapendwa mliifurahi sana na mie siku moja nitakuja uko dar lazima nikutafute dada jay

Rida said...

tusiokuwa wan familia tutakula kwa macho

Anonymous said...

Out of Topic.
Dada Jide mbona umepunguza size ya pictures yaani zinaonekana ndogondogo? Uongeza size kidogo tuone kwa ukaribu zaidi.

Kazi njema.