Sunday, June 17, 2012

ZAWADEES

Nashukuru watu wote walioniandikia e-mail kutoa pongezi za Birthday, walio ni inbox facebook na twitter pia
 1. Shukrani kwa wadogo zangu wapenzi wa hiyari 
Bi. Maggie na Ester Ulaya
Kwa keki na kwa kwa kwaa kwaa ya haja
 2. Peter Heineken nilishukuru mwanzo nashukuru tena kwa mara ya pili.
Umekuwa mdau wa muda mrefu na unaendelea ku support

3. A Brother and a Friend 
Mh. Abdullah Ali Hassan Mwinyi na mkewe kwa zawadi ya moja ya vitu ninavyovipenda

4. Mdogo wangu mwingine Jackrine Ngongoseke
5. Chef wangu Agustino

Na wengine wooote waliohudhuria


Maneno hufariji na kutia moyo, maneno mazuri huongeza maisha pia na kutoa tabasamu palipo na simanzi.

Mbali na yote nawashukuru pia walionipa zawadi za kushikika mkononi.
Asante kwa Captain for mabusu alfu moja

2 comments:

Disminder orig baby said...

HOngera mamy Mungu akuzidishie upendo na maisha marefu yenye baraka zote. Amin

stellah- Tanga said...

waoh jaman mlipendezaje wote!,missing u guys! nawapenda sana naamin next event mungu akipenda tutakuwa pamoja, One love!