Zawadi ilikuwa ni kutoka kwa Swahiba wangu Peter
Tulikuwa wa nne ilipogonga saa 6 kamili usiku
Ni siku yangu kubwa sina budi kujidai
"IT'S MY BIRTHDAY"
Ndio New Year kwangu
MUNGU ndio alieamua niwepo tena, namshukuru sana
Me, Ibra and Khadija "GOBOS United"
Mazuri machache ya kuwahusia ni haya:
Msivunjwe mioyo na waliokwisha vunjika mioyo
Maana hawana matumaini na hawatakuwa na busara za kuwashauri.
Msikatishwe tamaa na waliokwisha kata tamaa, maana hawakumbuki nyuma na mbele wanaona giza.
Mawazo na maneno yao yatakuwa ni ya kusitisha safari yako isifikie mafanikio
RESPECT TO MY MAMA "MARTHA MBIBO"
NI zaidi ya mwanamke.
Party itakuwa Nyumbani Lounge karibuni tujumuike
Chuma hakiunguzwi na moto wa Kiberiti
Ila kinapata moto tu
MUCH LOVE
JIDE
12 comments:
hongera sana mpenzi. nakutakia maisha marefu yenye amani,furaha na upendo kwa wote wakupendao...furahia siku yako na wale uwapendao..
JAMANI MANENO MAZURI NA YENYE KUTIA MOYO...HAPPY BIRTHDAY NA MOLA AKUPE AFYA NJEMA NA MAISHA MAREFU LOVE U FROM UK.
Happy birthday Judith. Mungu akupe maisha marefu na afya njema.
Happy birthday to u dear!! May God shower you with his blessings.
Much love!
Happy birthday Mamito, Much Luv to u
happy birthday komandoo aka african whitney houston
Happy bday love may you grow more wisely and stronger, live long and be blessed in whatever you do.
big love from
Annette
Happy Birthday Judith,mwenyezi mungu akujalie kila uombacho akujalie na akuepushe na kila uambacho akuepushie.Nice msg
HAPPY BIRTHDAY DADA JIDE,TUNAKUTAKIA MAISHA MAREFU,MWENYEZI MUNGU AKULINDE INSHALLAH!MUCH LOV.
nimependa msg yako xna jide! unanitia moyo!!!Happy birthday mdada MUNGU akupe nguvu!
Rachael
Na mungu akupe maisha marefu sana jide yenye afya njema.usichoke kumuomba mungu kwa yale mahitaji yako ya moyo,hakika yeye ana njia nyingi tu za kukubariki.usisahau kutoa sadaka ni baraka sana ktk maisha yetu..kila la kheri mamii.
Happy Birthday Jide,Be blessed.
Post a Comment