Iko kule kule Kijenge ilipokuwa Colobus ya zamani ila watu wengine ndio watakuwa wanaiendesha. Hivyo itakuwa tofauti na ilivyokua ya mwanzo
Nje Parking ipo na kuna uzio umezunguka
Hiki kijibwa kilikuwa ki Homeless kikaokotwa njiani na wenye Colobus mpya, wakaamua kukipa hifadhi
Kuna sehemu kama nne tofauti ndani ya Club hiyo utachagua panapokufaa kulia bata
Tinga Tinga Bar
Hii Lounge patakua pana Live Band
Hapa patakua na pool tables pamoja na jiko la Pizza za vipande, huna haja ya kununua Pizza nzima ushindwe kumaliza
Ukitaka kipande kimoja viwili unauziwa
1 comment:
PAMEBADILIKA KWELI LAKIN... DAAA!!!!!!! UMENIKUMBUSHA MBALI KWELI SIJU KM ILE LADHA YA CLOUDS ILIPOKUWA INAITWA MAWINGU... HAITORUDIA TENA..RUKY--UK
Post a Comment