Historia kati yao ilitengengenezwa tar 29 July 2012
Katika siku yao ya kihistoria walipenda LADY JAYDEE & MACHOZI BAND waingie katika Album zao za kumbukumbu
Tukafanya hivyo bila kusita.
Hii ilikua ni AKANANAA AKANANA KAILE KOLA
Haya edding MATOKE hayakukosekana
2 comments:
Hongera kwa Maharusi.
Ila mamaa ya Familia ulitoka mwake mwake.
Akanana kweli kweli kaile nikeogola juu my Jide. Hongera maharusi karibu katika group
Post a Comment