Tuliwasili mida ya saa sita mchana
Baada ya kujiweka sawa tukaelekea mahali ambapo kuna kuku mtamu Tanzania nzima sijaona
Picha za kuku huyo zitawajia siku za usoni
Nia na madhumuni ya Safari hii ya mwanzoni na katikati mwa wiki ni kuhudhuria event ya
Qatar Airways
Ambayo itafanyika katika viwanja vya Hotel ya Mount Meru Arusha
Usiku wa Jumatano ya tar 25 July 2012
Marquee nyeupe inayoonekana ndio imeandaliwa kwaajili ya event hiyo
Shuhuli za upambaji, ufungaji vyombo na matayarisho mengine yalifanyika siku ya jumanne
Wakati mafundi wanaendelea na shughuli zao, kulipatikana muda wa wanamuziki watakao toa burudani kufanya Sound check usiku mmoja kabla ya siku rasmi ya shughuli
Hapa viti vimekwisha pangwa lakini bado decoration haijafikia mwisho
???????????????????????????????????????????????
Barnaba ni mmoja wa Wanamuziki watakaofanya mambo Usiku wa hafla hiyo
Lady JayDee na Machozi Band ndio shughuli zetu
Hapa ni katika Sound check kurekebisha Microphones, Ma guitar, Keyboards n.k
Show kamili itafuata
Hapa ni katika Sound check kurekebisha Microphones, Ma guitar, Keyboards n.k
Show kamili itafuata
Matukio zaidi ya hafla ya Qatar Airways kuzindua trip mpya
Yatawajia hapo baadae, na picha nzuri za watu waliopendeza
Na masham sham yote ya usiku mzima
10 comments:
pendeza sana Jide karibu na Moshi
HI KOMANDO.. HUWA NAKUKUBALI SANA. BIG UP. DAA UMEVAA BUTS DUU KUSEMA UKWELI HAZIJAKUPENDEZA SIJUI NA JINSI ULIVYO VAA,VAA AU SHAURI YA KAMWILI KADOGO....KWA UZURI TU..
Mumy mmmm sijui nisemeje naona kama umechemsha na hayo mabuti utadhani unaenda mererani au mbuga za wanyama wakati ni hapo tu town tena kwenye hotel nzuuri..said Pamel.
All the best Commando
Piga kazi majungu waachie wazaramo, Tunangoja more picturez
piga kazi mamiiii,na cdhan km buts ndo mdomo unaoimba nakuaminia najua walienjoy.leon lee
Hahahahaha wee Klarah wakikusikia wazaramo!!!! ila me naona kwa kivazi kile na boots ni poa kabisa. Wadau mlitaka avae skuna??? si mnaona alikua kikazi zaidi kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa asije haribu shughuli ya watu siku ikifika.
Mabuti ndo swag za Arachuga komando kawakilisha big up sana u look great mamy all da best
Big up unajua kuzitafuta
Barnaba aache kunyoa kiduku, akisokota nywele anapendeza zaidi.
Big up dada Jide nazipenda kazi zako.
Post a Comment