Cha mwanzo
Kikiambatana na Moet Champaign
Kikifuatiwa na kikuu
Na baadae cha mwisho
Huduma hizo hutolewa kwenye ndege hiyo niliopanda, sio Hoteli
STRESS FREE ZONE
Mishe zinaanza saa mbili kamili, hivyosina budi kuamka saa moja unusu
Nikiamka nitawacheki na story zitaendelea, mlale unono
Na mimi napumzika hapa kwa masaa kadhaa
15 comments:
Safari njema Jide, twasubiri matukio.
nasubiria kwa hamu hayo matukio, all the best
Uko juu shoste! Hapo wapi kwani?
mmmm me love u sana Jide kila la kheri
safari njema mamiiii..
Dada Jide umependeza sana. je ulo wapi na kwa shughuli ya aina je rafiki yetu?
Mungu akutangulie daima na milele.
safari njema.. huyo unayemuandikia kinote nani akuamshe mamiii??lol..safiri salama
Safari njema twasubiri matukio kwa ham zote lol
Kila laheri Jide,Mungu akutangulie na akutimizie haja ya moyo wako.
SAFASRI NJEMA MUMMY.....I LOVE U.. SANA TU.
KAZI NZURI KAMANDA TUPO PAMOJA!
matukio twayangoja next time twende wote mie misosi tu basiiiiiiiiiiiiiii
SAFARI NJEMA UNAELEKEA SA KWA BIRTHDAY YA BABU WA TAIFA ALL THE BEST
hi maamy i do appriciate u.wish u ol da best
how i loved u n wished u were ma own sister!may jah bless u in wateva u do....mindu u.kip on respecting urself n God wil grant u even more than that....lol
Post a Comment