Monday, July 16, 2012

DIARY YANGU JUMAPILI YA 15 JULLY: NJE KIDOGO YA MJI KIKAZI

Kitengo hiki ndio mimi hukipendelea kuliko vingine, ndio maana hukifurahia zaidi muda wake unapofika hata kama ni kuangalia tu bila kugusa ilimradi kiwepo tu mbele yangu


Cha mwanzo
Kikiambatana na Moet Champaign


Kikifuatiwa na kikuu



Na baadae cha mwisho
Huduma hizo hutolewa kwenye ndege hiyo niliopanda, sio Hoteli



 STRESS FREE ZONE


 Mishe zinaanza saa mbili kamili, hivyosina budi kuamka saa moja unusu
Nikiamka nitawacheki na story zitaendelea, mlale unono

Na mimi napumzika hapa kwa masaa kadhaa

15 comments:

stevie-u.s said...

Safari njema Jide, twasubiri matukio.

Ester Ulaya said...

nasubiria kwa hamu hayo matukio, all the best

Anonymous said...

Uko juu shoste! Hapo wapi kwani?

Dorry said...

mmmm me love u sana Jide kila la kheri

Rida said...

safari njema mamiiii..

Betty said...

Dada Jide umependeza sana. je ulo wapi na kwa shughuli ya aina je rafiki yetu?

Mungu akutangulie daima na milele.

cally said...

safari njema.. huyo unayemuandikia kinote nani akuamshe mamiii??lol..safiri salama

wise monica kaaya said...

Safari njema twasubiri matukio kwa ham zote lol

Anonymous said...

Kila laheri Jide,Mungu akutangulie na akutimizie haja ya moyo wako.

Anonymous said...

SAFASRI NJEMA MUMMY.....I LOVE U.. SANA TU.

emu-three said...

KAZI NZURI KAMANDA TUPO PAMOJA!

cisca kayumbo said...

matukio twayangoja next time twende wote mie misosi tu basiiiiiiiiiiiiiii

Anonymous said...

SAFARI NJEMA UNAELEKEA SA KWA BIRTHDAY YA BABU WA TAIFA ALL THE BEST

Anonymous said...

hi maamy i do appriciate u.wish u ol da best

Anonymous said...

how i loved u n wished u were ma own sister!may jah bless u in wateva u do....mindu u.kip on respecting urself n God wil grant u even more than that....lol