Wednesday, July 4, 2012

MELISSA "Mama Siyabonga" KAPATA MWANA





Ni member wa LA FAMILLE

9 comments:

cally said...

hongera sana Melissa. mungu awakuzie.na nakutakia afya njema wewe na baby

Anonymous said...

Mwenyez Mungu amkuzie.leon lee

happy happy said...

ooooh my! the bby is soo cute. Woooow!hongera saaana Melisa!

Disminder orig baby said...

Karibu mtoto wetu mwingine katika familia. Hongera sana bi dada Mungu akutunzie Insha'Allah. Amin

cisca kayumbo said...

hongera mamito wanafamilia wanaongezeka

Stellah- mdau Tanga said...

hongera sana Melisa, mungu akukuzie mwanao!

kai rooney said...

Hongera mama siyabonga.

Dada Mkubwa said...

congrats dada happy happy fo r u han..

wise monica kaaya said...

Hongera sana mamy mungu akukuzie