Sunday, July 8, 2012

MENU YA JUMATATU KWENYE BUFFET - NYUMBANI

 Patakua na:
1. Vegie soup
3. Muhogo wa Nazi
4. Kuku wa Kienyeji
5. Ugali mweupe
 6. Tambi za Sukari

 7. Dengu

8. Beef

9. Fillet ya Sangara
10. Mchicha

 Desert ni: Tikiti Maji
 Pear
 Na Ndizi
Kila atakaenunua sahani ya chakula atapata glass ya Fresh Juice bure,  pamoja na Free wIFI Internet kwa watakaokuja na laptop zao au simu zenye huduma hiyo.

Mambo yanaenda yakiongezwa

2 comments:

Somebody Not Hater:... said...

The food luks delicious but tatizo mshiko.......yan mi sijui lini ntakuja kula nyumban lounge!!!!!...natamani

Anonymous said...

Uwiii, hiyo sangara???? I need to eat eat, too bad niko Mkoani;
Love you DJ