Leleti Khumalo alitoka na kujulikana zaidi alipocheza movie ya Sarafina baada ya hapo mengine yaliofuatia ni Historia.
Amewahi pia kuigiza movie nyingine iliopata nomination katika tuzo za Oscar inayojulikana kama YESTERDAY inayohusu unyanyapaaji wa waathirika wa Ugonjwa wa Ukimwi
Vyonne anaejulikana kama Princess of Africa kutokana na Muziki wake, mbali na kuburudisha amekua mstari wa mbele kupigania mambo mbali mbali ya kijamii likiemo la Malaria
Katika Musical Film ya "Cry for Love" anaungana na Leleti Khumalo
Ndipo linapotoka bonge la picha.
Veteran director Faith Isiakpere, ambae alikua senior producer BBC na filmmaker, alifanikiwa kuwakutaniha wanamama hao wawili katika filamu hiyo yenye lengo la ku inpire Vijana na kuwapa nguvu.


No comments:
Post a Comment