Thursday, July 26, 2012

QATAR AIRWAYS GALA DINNER IN ARUSHA

Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa Shirika la Qatar Airway akiwa na wadau wengine wa Qatar, pamoja na balozi wa Fistula JayDee

Wageni waalikwa mbali mbali walipita kwenye red carpet kupata picha ya pamoja
Na baada ya hapo kulikuwa na Cocktail party ya ukaribisho, na baadae dinner na burudani

Mkurugenzi mtandaji wa Qatar Mr. Marwan Koleilat akizungumza machache usiku wa jumatano ya tar 25 July 2012, kwenye Gala Dinner ilioandaliwa na shirika la ndege la Qatar Airways
Iliofanyika kweny Hotel ya Mount Meru mjini Arusha


Mh. Harrison Mwakyembe, waziri wa mawasiliano na uchukuzi (Kulia) ndie alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliohudhuriwa na wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali

 Barnaba kutoka THT alifanya show ya utangulizi na baada ya hapo, chakula cha jioni kilifuata




Baada ya chakula cha jioni, Lady JayDee na Machozi walitoa burudani kabla ya matukio mengine mawili ya kumalizia shughuli ya kuzinduia trip ya KIA kwa ndege ya Qatar



 Captain, Mr. C na mdau kutka Sweden wakifuatilia kwa makini






 Bebii ndio alikuwa muendesha shughuli wa siku
Nguo ya JayDEE "Designed by Tasleem"
Chini ya label ya Soul Child






Mh. Harrison Mwakyembe (kushoto) Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Jide na Mama Mwakyembe (kushoto)

13 comments:

Jide's secret admirer said...

Shughuli nzuri, Jide umependeza sana na hilo gauni. Love u mobs

Disminder orig baby said...

MMH ULINOGAJE MWA KWETU?
FUNGA KALOMO.

mama C. said...

Love the outfit wow.... yaani umependeza sana maana umeenda na corporate colours!!! Najua itakua wali-enjoy sana muziki wa Machozi Band. Mungu akulinde na akujalie kila lililo jema katika shughuli zako zote.

Anonymous said...

bwana jide angaliaga nguo za kuvaaaa kha hiyo nguo me wala haijanibarikia khaaaaaa. mbona kuna pamba ukipiga unatoka freshss mno iyo sartin inaonekna kama ya bei cheap.

kai rooney said...

Nguo nzuri na imekupendeza.

cally said...

umependeza mamii. na designer kakutendea haki kwa kweli. big up

Klarah said...

sio kila material ni satin watu mnapenda kukremisha ilimradi tu kutoa doa

wise monica kaaya said...

Umependeza sana lol

Anonymous said...

UKIPENDEZA KAMA HAPA NAKUSIFIA SANA TU GAUNI UMELITENDEA HAKI KABISAA NA UKIARIBU MUMMY ANAYEKUPENDA LAZIMA AKWAMBIE...MI LOVE U..SANA TU..RUKY

Anonymous said...

Wewe uliyekua unataka kubarikiwa na nguo ya jide,km unataka kubarikiwa kamtafute mchungaji au padri,msipende sana kutoa kasoro wenzenu.nice outfit mamiii big up.leon

Anonymous said...

mamii hiyo nguo design yake ni nzuri sana tu ila dizaina hajachagua kitambaa kizuri, its a big NO

Suzan said...

Kuna wajuaji wa kila kitu humu ndani, mambo ya miziki wao ndio ma producer mambo ya mavazi wao ndio kina Hasanali, sijui tuwaweke upande gani leo mimi napita tu sina la nyongeza

Nyaki said...

Aisee,i love the gown,lilikupendeza sasa